Kwanini Tendwa anaiogopa C.C.J? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Tendwa anaiogopa C.C.J?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja Mkuu, Jul 13, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna siri gani nyuma ya pazia?
  Yaani ccj imeshindwa kutimiza masharti ambayo hata mtikila aliyaweza?
   
 2. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Suala si Tendwa kuiogopa CCJ wala CCJ kushindwa chochote. Kikwazo ni uongozi wa CCM unaogopa na hautaki ushindani utakaohatarisha ushindi katika uchaguzi ujao. Ni dhahiri Tendwa anapata maelekezo kutoka juu ahakikishe kwamba CCJ kinakwamishwa. Nyuma ya pazia kuna mengii.
   
 3. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Suala si Tendwa, Hapa ni CCJ Wamehindwa kutimiza masharti ya usajili, wasitamfute mchawi na wala si CCM
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sasa kipi ni kipi?
   
 5. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa CCJ & CCM wanajuana sana,
  hivyo basi CCM haiwezi kujikaanga kwa mafuta yake.
  Kuiruhusu CCJ ni kuiangamiza CCM
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mh! Hivi huu mjadala wa Tendwa na CCJ bado haujaisha tu!
  Kuna maswali mengine ndugu zangu yanaumiza kichwa na yanaongeza stress.
  Hasa hili la Tendwa na CCJ.
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kwanini wasikalishwe kitimoto wajieleze mbele ya waandishi wa habari?
  Hivi hatuwezi kutafuta wadhamini, tuwaweke kati hawa wawili wananchi waujue ukweli?
  Ningekuwa mwandishi wa habari ningewaweka kati halafu nainadi ile mbaya debate yangu.
   
Loading...