Pwezaa!!!

Pwezaa!!!

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
 
Huyo Pweza ni jini tu, tukumbuke majini ni roho na wanaweza kujibadili katika umbile lolote, otherwise it was just coincidence.
 
Back
Top Bottom