Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga … atakuwa na tabia hiyo hiyo. Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu. Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tena nahisi kwa mtu aliye makini, kibwagizo hicho ni tusi kwake! Ni tusi kwake kv mtu yeyote kupandikizwa kitu ambacho si sahii na kumtaka akiamini tafsiri yake ni kwamba umemuona juha! Kama...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
In very vageu terms, general argument, generic terms and generalization of everything, Kikwete has asked Tanzanian of their votes to continue with his presidency. No that I was expecting...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii kwanza imenishtua, nikajenga attention, then ikanifurahisha... Very creative
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii michezo ya kuigiza itakwisha lini? Watanzania tumechoshwa na michezo ya kuigiza, vyama vya upinzani vikuwa ni vichekesho vitupu, sisemi kwamba watanzania hatuna uchungu na nchi yetu au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CRUSHING POVERTY - These kids are forced to perform what could easily be defined as one of the worst forms of child labour by helping their parents to crush stones into gravel for sale to builders...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu tunaomba updates juu ya safari ya Mwanza kwa mgombea wa ccm, je amefika? na nini kinaendelea??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
siku ile CHADEMA wamehutubia Jangwani, eti kumbe vyombo vyenu vilikua vibovu,na mlikua "WAUNGWANA kwerikweri" mkaomba radhi...leo vyombo vyenu ni bomba mbaya, mmeweza kurekodi ipasavyo...ila...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamini, Nadhani tuchukue hatuwa tusije kupata gharama za kumtibu rais kwa kodi badala ya kupata huduma toka kwake. Hili naomba tulipe uwezo wa kipekee kabla kampeni azijashika kasi. WAPIMWE FULL...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siamini imeika nchi kuongozwa na katoto kadogo kama riziwani ni mdogo wangu rafiki yangu lakini nafikiri ni wakati muafaka amuachie babake afanye maamuzi kama baba na sii kufwata ushabiki wa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Naona kama kitu hiki kinakuja na kinaniumiza sana moyo wangu maana hatuwezi kuendelea kamwe. Kuna watu wanaleta siasa hizi sa dini(mmeona na gazeti fulani lilivyosema leo),,,,,, Kwa minajili...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa jinsi mambo yalivyoenda leo mchana huu naona kigagula Yahaya si muchezo jamaa kidogo achungulie Jehanamu ameishia lango la kuzimu! Ama kweli ushirikina hauna maana kama Sheikh Yahaya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
This is the first time i feel like Tanzanians have come to their sense that we need changes and i mean right changes, it is time we make those changes and 1 day our sons will ask us what we did to...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Magazeti wiki hii yamekuwa yakiandika kuwa mabadiliko ya 10 yaliyofanyika Zanzibar ya kuonyesha kuwa hiyo ni nchi iliyo na uhuru kamili na mipaka yanataka kuanzisha mgogoro wa kikatiba nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilifuatilia ufunguzi wa kampeni wa chama tawala jana pale jangwani na kwa kweli nilisikitika nilichokuwa nasikiliza. Wote waliozungumza hawakuongea jambo la msingi la kuwashawishi wananchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nimejaribu kuuangalia mfumo tunaotumia wa kuchagua viongozi na hakika nikakataa kuukubali kwa vigezo kadhaa. Mfumo huu wa kupiga kura na anayepata kura nyingi kuwa ndiye mshindi sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Kikwete akianguka tena daktari atasema nini? Ansbert Ngurumo NAANDIKA kwa uangalifu mkubwa kwa sababu mada yenyewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi tunaweza kuona mwonekano alionao Rais wa Marekani hivi sasa, Obama na kulinganisha jinsi alivyoonekana miaka miwili tu iliyopita. Wengi tunakumbuka jinsi Rais mstaafu Clinton alivyozeeka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete aikosesha CCM jeuri ya mwaka 1995 MWAKA 1995 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa na jeuri. Baada ya mkutano mkuu kumteua Benjamin Mkapa kuwa mgombea urais wake, na Mwalimu Julius...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kuna mahali nimekuta picha hizi. Chadema jimbo la Bukoba mjini walipokuwa wakiwakilisha form kwa msimamizi wa uchaguzi. KAZI IMEANZA.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…