Kundi la wasanii ndiyo mtaji wa CCM?Watanzania kwamatatizo yote!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kundi la wasanii ndiyo mtaji wa CCM?Watanzania kwamatatizo yote!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Aug 24, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Jamani nasikitika pale napoona kampeni za chama tawala zinageuka FIESTA ELECTION 2010!
  Naomba kufahamishwa kampain meneja Hivi ha wa CCM wameona kitu cha msingi kwa wananchi wao nikuwapelekea marrow,Chege Temba,etc??

  Hakuna jinsi yakuwakonvisi wananchi kwa kuwapa sera na hoja nzito zakuwa sababisha wananchi waachene na kuwazoma majimboni??kweli??Mbona hapakuwa na mazoea haya au kwakuwa mpiga tumba wa chama na yeye amekuwa solo artist??
  Kundi la wasanii ndiyo mtaji kwa CCM??Hii kali lakini maneno mazuri yawezakuwa kivutio kuliko bongoflava wanaoshika nyeti zao wakati mhe.Yupo anawatizama wanakosa aibu khag!!
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni kukosa akili. CCM, wanamuziki na washabiki wote. Hivi sera za CCM ni zipi tena? Nahisi ni kuboresha fiesta mwaka 2010/2015, ukizingatia wanaompigia debe ni mhuni mwenzao. Hivi huyo JK kwa kura alizopata 2005 anashindwa kuonesha imani zaidi kwa watz kwa aliyoyafanya hadi azunguke na kina marlow nchi nzima? Na hao kina marlow si njaa tu inawasumbua? Niliuona wimbo wake wa pii pii wa maana lakini sasa napata kichefuchefu...
   
 3. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  CCM wameshapoteza umaarufu, na wao wanalitambua hilo, hao wasanii ni njia mojawapo effective ya kupata umati wa watu, fikiria mtu miaka nenda rudi hao wasanii anawasikia kwenye redio ya kwenye daladala tuu halafu leo ameletewa wote kwa mpigo tena bila kutoa hata senti...

  tatizo ni kwamba wengine wakiona mapicha ya umati wa watu umejazana kwenye kampeni za ccm wanadhani ndio chama bora na chaguo la wengi halafu wanafuata mkumbo ambao haupo.
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,594
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  CCM wamefulia hawana sera tena , kimebakia chama matambara,mabango,makofia ,vitenge, miavuli,ngoma,mchiruku,taarab,na upuuzi mwingine. CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. Kwa ujumla CCM imebakia USANII TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU. UPUUUUUUZI MTUPU
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Wameona watanzania wanapenda mziki kwa hiyo ili waje wengi wameamua kuweka hivyo vikundi lakini tusidanganyike.
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hata ukienda kwenye kampeni zao we jitahidi kurudi na akili zako tu
  ukiacha huko ujue una ngwe ya miaka 5 mbele ya maumivu mengine
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Watu wa Pwani ndio wanatekwa na ngoma. Hii ni jadi yao kila ngoma ikipita wote wanaifuata kuanzia wazazi hadi watoto. Mara nyingi watoto hao ndio kabisa maana wamepotea kwani hujikuta wako vijiji vya mbali wakiwa hawajui njia za kurudi nyumbani. Wakina mama na wakina baba wamejikuta wakipoteza siku nzima ngomani bila kujua wanachofanya hakina faida kwa familia zao.
  Sasa mkwele kaja na style hiyo hiyo msimshangae. Anaona wote tutafuata ngoma na kumpa kura.
  Hivi kweli bado sisis wadanganyika ni watu wa kutoa kura zetu za maana zinazo judge maisha yetu ya kesho kwa nyimbo za bongo fleva na za kapteni choka mbaya Komba?

  HATUDANGANYIKI TENA ENYI WANA SISI M.
   
 8. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Labda niwasaidie kidogo, kuonekana kwa wasanii ndani ya kampeni za ccm ni mazao ya Mh Januari Makamba na Ruge MUtahaba, hao ndio wako front kwnye hii ishu . CCM wantaka wapiga kura vijana ambao wengi ndio itakua mara ya kwanza kupiga kura , ili waweze kuwakamata njia muafaka ni kutumia chombo cha burudani kilicha na uwezo mkubwa wa kubrainwash vijana ambacho sio kingine ni Clouds Media , kwa njia hii wataweza fanikiwa ndio mana unaona Fiesta kwenye campain.
   
 9. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mamlukiwa wa CCM Ephraem Kibonde , Jana alikua anamuua Dk Slaa kijanja kwa kujifanya eti hawezi soma habari zake zilizo andikwa kwenye gazeti la Mtanzania kwasababu ni za kibinafsi, kumbe alikua ana mtangaza kijanja kwa mba watu wajue kuna soo kwene gazeti la Mtanzania na kila mtu anaye jali aende akanunue amsome ajue soo lake, hehehehee hapo ali win kinoma ku mbomoa Dk Slaa. Mana bada ya hapo kila mtu mbio kununua Mtanzania kujisomea soo lenyewe .
   
Loading...