Tanzania tuko serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuko serious

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Janjaweed, Aug 25, 2010.

 1. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nasikitika kusema kwamba watanzania, tukiongozwa na viongozi wa kidini, kisiasa na mambo ya huduma ya jamii tumeng'ang'ana na kampeni ambazo tunajua kwa zimeshachakachuliwa na kusahau mambo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu

  tumelala fofofo kiasi kwamba hatujui hata shida za vijijini zaidi ya kakomalia hoja za jk, slaa na lipumba

  sioni mwanga mbele kwani tunashindwa kumuuliza jk maswali magumu, tumekua bize kuangalia matukio yasiyobadili maisha yetu

  nchi hii ina usingizi
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo umenena. Nashangaa tangu kampeni zianze mgombea haulizwi mbali kuendelea kudanganya kuwa tumefanyaa...... tutafanyaa......Wanachi wakiendelea kupiga makofi. Sielewi wanafurahia nini. Ila huko Mza nimeona kulikuwa na dalili za kukachwa hadi walifanya jitihada za ziada za kuwabeba wanafunzi na magari ili waujaze uwanja. Sijui tutautwanga usingizi hadi lini....?:confused2:
   
 3. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu vipi hii imetokea Sudan?
   
Loading...