Ushauri wa Bure kwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Bure kwa CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sabi Sanda, Aug 25, 2010.

 1. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanachama Wote na Viongozi wa CCM,

  Kutokana na hali ya mambo ilivyo na hasa kwa faida ya nchi yetu kama Watanzania, tunawaomba sana Mbadilishe mgombea wenu wa Kiti cha Urais awe Dr. Salim Ahmed Salim na Mgombea wake Mwenza awe Dr. Adolf Faustine Kazimoto Mkenda au Profesa Ibrahim Nguyuru Lipumba.

  Ni matumaini yangu na ya Watanzania wengi kuwa mtauzingatia ushauri huu wa bure.

   
 2. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wait a minute!!!!!! I don't get it.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Me either.
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hii ni pombe gani inayotangazwa?
   
Loading...