Vifo 43,000+ vya watoto na upotevu wa Sh bilioni 700 kila mwaka ni vya kupuuziwa?

Smiles

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,231
107
Hivi tunaenda wapi na hii serikali yetu jamani.......?
Mbona inasikitisha hivi
 

Attachments

  • Fighting Malnutrition_Swahili.PDF
    1.5 MB · Views: 64
Nani ana habari nayo?? Pesa iko kwa matumizi yasiyo ya kipaumbele!! Unajua ni sh, ngapi zinatumika kwa uchaguzi mwaka huu, tena kwa kampeni za upendeleo? Kama ungekuwa na macho ya inzi uone madokezo/barua za fedha hizi ungezimia!! Priority kwa sasa ni uchaguzi na mishahara ya watumishi!!! Mengineyo ni baada ya habari!! Very Good!!
 
Afu hapo ndio wanapokosea!
Priority should have been wananchi so that we reward them kwa yale mazuri
waliyotufanyia, na sio kwa mazuri waliyojifanyia wenyewe....
 
Afu hapo ndio wanapokosea!
Priority should have been wananchi so that we reward them kwa yale mazuri
waliyotufanyia, na sio kwa mazuri waliyojifanyia wenyewe....
Utaumiza kichwa bure ndugu yangu.
Kuna uozo mwingi sana katika serikali hii.
Binafsi huwa nikiufikiriaga huwa machozi yananitoka lakini haya yote yana mwisho.
"Huwezi kuwapumbaza watu wote kwa muda wote"
 
Utaumiza kichwa bure ndugu yangu.
Kuna uozo mwingi sana katika serikali hii.
Binafsi huwa nikiufikiriaga huwa machozi yananitoka lakini haya yote yana mwisho.
"Huwezi kuwapumbaza watu wote kwa muda wote"

Ni kweli kabisa.....
 
Smiles, the document reflect jinsi wa-Tz tulivyo... we focus on non essential things that give us a few minutes pleasure, and we dont want to challenge or be challenged...

what you see in that document is almost everywhere in our social services cycles, name any sector and one [if courageous enough] will come and give you details on how Tanzania is making her people miserable at the expense of few non-caring public servants... ukija kwenye suala la umeme pekee loses ndio usiseme... in any procurement areas, expect 30% to be wasted by griddy tanzanians who always pretend to be more tanzanian that any other east africa member but their acts are far less than corrupt chinese who sell us fake milk

jaribu kupitia hali halisi ya vouchers za kilimo na actual spending kwenye hiso sekta, utakuta 30+ ya resources haziko accounted for
nenda kwenye afya, consolidate all resourcs put for medicines and diagnostics [usisahau mchango mkubwa sana wa NHIF, halafu kusanya matumizi ya hizo rasilimali, utakuta 30% haiko accounted
ingia kwenye sekta ya elimu, tafuta inputs in dollar value, halafu nenda kakague kilichoko kwenye end user, a doubt utapata hta 55%
it is simple to get these info and cheap to do a study as long as you can dar to publish ukiwa safe

Nini kifanyike?
kwa muda mfupi tu tujitolee kuwa investigators was social service na tutoe findings zetu, watashtuka na kuanza kufanya kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom