Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SIKU moja baada ya Chadema kutangaza nia ya kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, chama hicho tawala kimesema kuwa kinajipanga kumwokoa mgombea wake dhidi ya hoja za kutaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mjini Mbozi tukio la mgombea ubunge kuzomewa lilimkumba Dk Lucas Siyame baada ya kuitwa jukwaani na Kikwete ili awasalimie wananchi baada ya kumaliza hotuba yake fupi kutokana na kuwa na mkutano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CUF si chama cha promotion kama vile bidhaa mpya. "Ni chama ambacho kimejikita vema hadi vijijini... hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya CCM ni CUF. Ni chama ambacho mgombea urais...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila ninapojaribu kufuatilia mwenendo wa kampeni wa mgombea wa chama kilichokuwa kikitutawala nimekuwa nikitamani kusikia jambo moja kubwa. Kimsingi hali halisi ya maisha hapa Tanzania sio nzuri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th July 2010 BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limesema katika siku 14 lilizotoa kwa CCM na kufanya uchunguzi, limebaini kuwa Serikali ya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hali ya kisiasa kwa CCM jimboni Bukombe ni ngumu sana. Prof Kahigi Mgombea wa CHADEMA anakubalika kuliko maelezo, bendera na vipeperushi vya CCM vimetolewa na kuchomwa moto! Wananchi wamekataa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
High Court directs CCM, govt to argue on petition Friday, 27 August 2010 The High Court yesterday directed the government and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) to argue by way of written...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wananchi wenzangu wana JF na wakereketwa wote wa MABADILIKO ni vigumu kuamini lakini inatubidi tuamini kwani tumeona baada ya kusikia mwanasheria na mwanzilishi wa vyama vingi akisema na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naamini ya kuwa siku ya leo itaingia kwenye historia ya nchi hii. Hivyo basi, ni vyema Chadema mkazalisha DVD's na VCD's au pengine VHS nyingi sana za uzinduzi wa kampeni hapo Dar (Jangwani) ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Mgombea Ubunge kwa jimbo la Kigoma Magharibi Mh Zitto Kabwe akiwasalimia Wananchi wakati wa kuzindua rasmi kampeni za chama chao katika kijijiji cha Mkongoro mjini Kigoma Kaskazini. Mgombea...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wanajamvi leo asubuhi nilikuwa natazama TBC1,kulikuwa na tangazo kwamba Rais J Kikwete atazungumza na wazee wa jiji la Dar sijui kama ni leo au kesho.Mara nyingi wazee wa jiji la Dar wamekuwa...
0 Reactions
538 Replies
43K Views
Kumbukumbu za Komred Ali Shetani I am not worried about “kibuki” because I may be an even more powerful shetani. In the streets, people sometimes even call me “Ali Shetani” as a joke. Ali Sultan...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana vyombo vya habari (hasa magazeti) vimepewa 'in CASH' shilingi za kitanzania Million 8 kila moja kuweza kuyavalisha magazeti yao covers kama inavyoonekana kwenye magazeti niliyoambatanisha juu...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Jamni mimi niko Arusha na tunapmbana kuhakikisha kuwa hawa Majambazi wanaondoka madarakani mwezi wa kumi mwishoni, upepo huku sio mbaya, kwa sababu kwa sasa ukiuliza watu kumi unaokutana nao watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilijaribu kuangalia hii picha kwa makini sikuweza kupata jibu mapema. Nilifikiri jamaa yuko msikitini lakini hapa anasaini fomu za kugomea Urais Zenji mbele ya Jaji mkuu wa Zanzibar (Mh. Hamid...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama ilivyo CHADEMA chama kisikivu tunaomba Timu ya Kampeni ya CHADEMA itupatie anuani za email za kuweza kuwasilisha maoni yetu kama wadau kuhusu mambo ushauri wetu kwa kuwa wakati wa kampeni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA pale Jangwani: Jamaa wamefunika......Marin aokolewa katikati ya makucha ya wananchi wenye hasira. follow link for more...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Vipi, mimi ni mpya huku TZ, nilianza kuishi hapa kwanzia Januari. Afu, katika ya mooda mfupi nilikuwa huku, niliona TZ mukona party moja ,CCM, na watu wakona maoni tofauti kuhusu CCM. Nieleze ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, pengine nina mapangufu kidogo kuhusu katiba na ningeomba msaada wa kueleweshwa. Hivi karibuni Znz wamebadili katiba [marekebisho] na kuweka wazi kuwa ni nchi kati ya zile zinazounda JMT...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona wanaCUF huku JF watakuwa wapo kwenye viwanja vya uzinduzi .Uzinduzi wao unarushwa moja kwa moja na TBC..Kuna vijana wametoa ghani tamu kweli za kuibeza chama twawala Kwa sasa anazungumza...
0 Reactions
134 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…