Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafungwa Waandaa Mkutano wa CCM HALMASHAURI ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeingia katika kashfa nzito baada ya kujihusisha na maandalizi ya mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau..taarifa zisizo rasmi toka kwa wanafunzi wanaoendelea na cohort ya 7 ya Law School of Tanzania zinasema kwamba wanafunzi wenzao karibu 30 wameacha kuendelea na masomo kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa zangu wa CCM hapa Arusha wamesema watendaji serikalini haswa serikali za mitaa ndiyo tegemeo lao la kuokoa JK kupoteza pango hapo Ikulu. Tetesi hizi zinazidi kubainisha ya kuwa watendaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf kipindi cha utawala wa mzee LUKSA baba alikata ukimya na kusema WATANZANIA hatuwezi ongozwa toka kitandani, Je,haya ya mzee MWANGUKAJI angekuwepo mzee,baba wa hili taifa sijui angesema nn...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Millennium Development Goals (MDGs)/ Malengo ya Millenia yaliwekwa mwaka 2000 kwamba kufikia 2015 matatizo kama umaskini yawe nusu yake. Lakini kufikia 2010 hata nusu ya lengo halijafikiwa, je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA HALI INAYOONYESHA WAGOMBEA WAKUU CCM KUCHANGANYIKIWA, SASA SIJUI HATA KAMA WANAFUATA RATIBA. DR BILAL AMERUDI TENA IRINGA, ALIKUWA HUKO HATA MWEZI HAUJAISHA, JK ALIKUWA HUKO KAMA SIKU KUMI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ELIMU, AFYA, MAJI, UMEME (BURE AMA KWA GHARAMA NAFUU VIPO NDANI YA UWEZO WETU) Wana JF na watz kwa ujumla, napenda kuchukua fursa hii kuwaletea mada hii tuijadili. Kwa mtazamo wangu upatikanaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Fredy Azzah WIKI iliyopita,Tanzania ilipewa tuzo ya kimataifa, kwa kutekeleza vizuri malengo ya elimu ambayo ni sehemu ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya (MDGs), yanayotakiwa kukamilika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa shinyanga waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lack of House vetting process to determine mobility of members of the Bench has provided the executive with a blank cheque to stoke judicial cronyism and mediocrity. The rules and regulations of...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Ndugu zangu, Great thinkers, Juma lililopita nimekuwa nafuatilia kwa karibu taarifa za habari. Kwa miaka sasa huwa naangalia ITV kwa sababu wamekuwa wanabalance habari zao bila kupendelea chama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
By Ani Jozen 25th September 2010 Hearing leading opposition candidate for the presidency, Dr Wilibrod Slaa outline his programme of government, one would be forgiven to imagine that cost cutting...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:A S-danger:BAADHI YA NJIA ZITAKAZO TUMIKA KUVURUGA UCHAGUZI NA CCM. 1.KUWAKAMATA VIJANA KWA KOSA LA UZULULAJI(HASA KTK MAENEO AMBAYO WAPINZANI WAPO) ILI KUPUNGUZA IDADI YA KURA ZA WAPINZANI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Since the whistle for starting the campaigns was blown by the National Electoral Commission on 20th August 2010 for the coming General Elections slated for 31st October 2010 the exercise has been...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
guys can someone help me out as to WHY in our elections we dont give results right at the polling station???????? if at all MAWAKALA na wasimamizi wapo why not after voting they dont count right...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Where do we position our contestant among these group; 1. Few who make things happen 2. Many who watch them happen 3.millions who have no idea of what is happening
0 Reactions
1 Replies
799 Views
MKAKATI WA KUILINDA KURA YAKO ISICHAKACHULIWE HUU HAPA Hivi kuna faida gani kuacha shughuli zako na kwenda kupiga kura na siku inayofuata unasimuliwa ya kuwa mambo yamekwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Dk Slaa: Nimeisikia sauti ya Mungu ndiyo maana ninagombea urais- SOURCE MWANANCHI Send to a friend Tuesday, 07 September 2010 17:56 0diggsdigg0diggsdigg...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kaulimbiu ya Lowassa ambaye anawania tena nafasi hiyo, ni 'tulifurahi pamoja, tukahuzunika pamoja, tutasonga mbele pamoja na tutashinda.'' Source Gazeti la Mwnanchi My Take Mheshimiwa Lowassa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…