0
Kampeni za Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Leo
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameanzia kampeni zake leo mkoani Manyara, wilaya ya Ngorongoro...
Wakuu,
Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo idadi ya watumiaji na watembeleaji wa mtandao huu wanavyoongezeka. Tungependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo watumiaji wa mtandao huu...
Anakumbuka marafiki na kusahau ahadi
NAWEZA kudai kumfahamu Kikwete kuliko wengi wa mashabiki wake wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni. Nimefanya naye kazi jeshini na serikalini kidogo...
Juzi tulitagaza kupitia jukwaa hili juu ya bw focus rwegasira wa jimbola nkenge kujitoa katika kugombea ubunge
hivi sasa anahutubia wananchi bukoba mjini eneo la soku kuu anadai kuwa yeye bado...
Wakuu,
Pilikapilika za uchaguzi zipo kwenye kilele. CCM na CHADEMA wanakabana koo huku CUF wakichukua kasi. Kila mmoja ana matumaini ya ushindi kwa chama chake.. Lakini tusisahau ni mmoja tu...
Kuna mwana JF katoa taarifa kuwa kamDr.slaa akishinwa basi mikoa ya shinyanga Mwanza na Tabora itakuwa imechangia, lakini napenda nimtahadhalishe kuwa mikoa aliyotaja tayari ilishawahi kukaa chini...
Kwa siku nyingi wananchi wa Tanzania tumekuwa tukisikia madai kwamba Rais wa nchi ni mtetezi au ni swahiba au anakumbatia watu wanasadikika kuhusika na vitendo vya rushwa, lakini madai hayo...
Wakuu,
Tulitangaziwa ongezeko la mishahara ya wafanyakazi. Lakini habari zilizopo ni kwamba mishahara hiyo mipya wala haijaanza kulipwa na wafanyakazi hawajaambiwa ni lini itaanza kulipwa. Je, huo...
They say that many of Tanzania's leading intellectuals are the nation's bane rather than its boon. A nation's intellectuals are supposed to be the people's eyes; they see ahead, point out...
Wanajukwaa,
Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na...
Hawaandiki habari zake lakini joto la homa yake lawatesa na wameamua kuendesha kura yao ya maoni. Ajabu wamemweka bila mpinzani, wanaogopa nini ?
Bonyeza hapa;
DailyNews Election Portal | Its all...
Wale wapenzi wa CCM
inasikitisha sana kwa kushindwa kuona mama zako, kaka zako, watoto na vijana wenye nguvu wanakufa kila siku kutokana na uongozi usiokuwa na ufanisi na ufisadi.
Inauma sana...
WanaJF nimeikuta hii kali ya Idd Azzan-mgombea ubunge wa Kinondoni-CCM katika Majira ya leo 24/09/10 "Jamani hivi watu wanadhani bungeni ni kama darasani ambapo kila mtu anaongea anavyotaka, kule...
Jamani naombeni msaada hapa, hivi vyama vyetu vya siasa vinatumia vigezo gani kuteua wabunge wa viti maalum? Mfano wale wa CUF na Chadema 2005 - 2010 walichaguliwa vipi, vigezo vilikuwa ni nini...
Wana JF sasa sio siri tena, mgombea wa CCM jimbo la Arusha mjini anatoa rushwa bila kificho, wafaidika wa kwanza ni wakina mama wa soko kuu Arusha wanafuatia waendesha pikipiki na waendesha...
CCM CCM mwenye wingi wa maneno na porojo zako ni nyingi,miaka yako leo 32 ukidunga watanzani,RICHMOND ikabwenga,melemaeta ikatungwa kuwaibia wana hoi,EPA nayo ikachota bila huruma kwa Walipa...
Jk kwa kweli ni mtu wa watu cheki hapo anakaa kwenye vumbi kuongea kwa unyenyekevu na mlemavu ni viongozi wachache sana wenye moyo wa kibinadamu kiasi hiki..
Wakuu,
Nikiwa kama mdau, nimesikitishwa sana na jinsi serikali yetu na hasa wizara ya afya ilivyoshindwa na inavyoendelea kushindwa kupambana mbu ambao uthibiti wao si mgumu hivyo.
Tanzania kama...