Daily News waendesha "poll"- Wao nao wataka kujua kama Dr. Slaa atashinda Urais! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daily News waendesha "poll"- Wao nao wataka kujua kama Dr. Slaa atashinda Urais!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mag3, Aug 7, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Wakimuweka bila mpinzani mimi naona kama ndiyo wanamuongezea chances.

  Hii poll haina impartiality wala credibility, Daily News ni gazeti la serikali, serikali ya Kikwete, ni kama mtoto aendeshe poll kuhusu mpinzani wa baba yake. Tanzania safari ndefu kweli.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Je Daily News lilisha binafsishwa? Kama bado ni lazima ifanyike hivyo mara moja kwani hawawezi majukumu ya kitaifa, hasa kama Mhariri mwenyewe ni huyu bradha Michuzi. Napenda mambo yake mengine ya mitaani, lakini yanapokuja mambo ya kitaifa na ya kisiasa, naona hayawezi kabisa.


  Nikiangalia marekani jinsi PBS na C-SPAN zinavyofanya kazi za kuifahamisha jamii bila upendeleo wowote, naona kabisa kuwa TBC na Daily News wana-betray trust ya wananchi kiasi kuwa hawastahili kupata ruzuku yoyote ya kodi za wananchi.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wameweka sehemu gani siioni
   
 5. S

  Shwari Senior Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hakuna tofauti kati ya "Daily News" na "Pravda" katika Soviet Union. Pia hakuna tofauti kati ya serikali ya Tanzania na chama cha utawala. CCM is more than just a political party - it's the state. "Daily News" ndiyo mdomo wao.

  Kwahiyo hata katika uchaguzi ujao CCM watakapo iba kura, tegemea gazeti hilo kusema uchaguzi mkuu uliendeshwa vizuri na kwamba CCM walishinda kihalali. CCM wakishindwa, gazeti hilo litasema kura hazikuhesabiwa vizuri au vyama vya upinzani viliiba kura.

  Hatuwezi kuwa na democratic election when we don't even have an independent electoral commission. It's a CCM electoral commission. It will be a miracle if Dr. Slaa becomes the next president of Tanzania. Be ready for a rigged election. But what else is new under CCM? Sijui Chadema wana mpango gani kuhakikisha kwamba the election will not be rigged na kwamba kura hazitaibiwa when the electoral commission is loaded with CCM loyalists.

  Lakini pia hao mafisadi wa CCM wakumbuke kwamba wakiendelea kuiba kura, and to rig elections, they will plunge this country into chaos. And one day they will pay a heavy price. There is a limit to human patience.
   
 6. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Je kuna linaloweza kufanyika hivi sasa kabla ya Oktoba kuzuia propganda za vyombo vya serikali kuipendelea CCM?
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Nimeona, kama ndo uchaguzi huo, Dr Slaa ameshashinda. Anaongoza kwa mbali sana dhidi ta wapinzani wake ambao hawajulikani. Kazi kweli kweli.
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Very True. Tuliwacheka Wakenya walipokuwa wakikatana mapanga lakini kwa upuuzi huu unaofanyika wakati wa uchaguzi mkuu, naanza kuona ya Kenya yakitokea hapa. Yes, There is a Limit to Human Patience.
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  JF IS FOR CHADEMA AND SLAA.......WHY NOT LIPUMBA........? na soon post hii nayo itafutwa ....UKWELI BWANA....! LET OTHER MEDIA DO THEIR POLLS TOO....! POLL za dr. slaa ni 4,000 je kura 4,000 za JF ZITAMPA SLAA USHINDI?
   
 11. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mahesabu
  Wewe ndo single minded kweli unajibu bila kuelewa kilichoandikwa, hii poll haiendeshwi na JF inaendeshwa na gazeti la Daily News, Mag3 alichofanya ni kui paste tu hapa JF ili wewe na mimi tuone, hee jamani great thinker hadi utafuniwe mbona unakuwa na mawazo ya negative kwa JF?

  Na hadi sasa kura zinazopigwa zinaonyesha

  Mini Poll ResultsWill Dr Slaa win the presidential race?
  Yes 98 votes. (60.87 %)
  Maybe 17 votes. (10.56 %)
  No 46 votes. (28.57 %)
  Total votes: 161
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  na wewe nawe, unadandia train kwa mbele, aibu kwako.
  kwani nani kakwambia poll hiyo ni ya JF, anza kusoma maelezo badala kuanza ku-comment wakati hujui maudhui ya threads husika, ama kweli.
   
 13. S

  Shwari Senior Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Sioni chochote kinachoweza kufanyika kuzuia propaganda hiyo kabla ya uchaguzi mkuu. Vyombo vya serikali, badala ya kuwa vyombo vya taifa lote pamoja na wapinzani who are an integral part of the nation kama Watanzania wengine, ni vyombo vya CCM.

  We don't have an independent judiciary either, let alone electoral commission. Look at the recent ruling on independent candidates. Hata chief justice joined his colleagues, singing in unison, na kusema kwamba the issue had to be determined by parliament, yaani by CCM. So, where will you go to seek justice? Unaambiwa, by high court judges of all people, go and seek justice from the very same people you have taken to court ambao wanakuzuia to run as an independent candidate, instead of the high court itself dispensing justice. It is the job of the high court, NOT parliament, to decide the issue. But not in Tanzania.

  Therefore when CCM steals the election, utaambiwa na CCM electoral commission CCM wameshinda uchaguzi. Unapokwenda kortini, utaambiwa na korti go to the electoral commission who have the authority to validate the outcome of the election they have stolen.

  Huo ndiyo uchaguzi tulio nao Tanzania. And that is the kind of judicial system we have. Halafu unategemea watu kama hao - CCM electoral commission and judges who rule in favour of CCM - kusema Dr. Slaa ameshinda uchaguzi?

  We may be the "sleeping" giant of East Africa. But when the giant wakes up, what happened nextdoor in Kenya after Kibaki stole the election will look like a kindergarten party.
   
 14. R

  Ramos JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndiyo lipo. Yeyote anayeamini kuwa vyombo hivi havitendi haki, agome kuvisikiliza, kuvitazama au kuvisoma. hii ina maana watakuwa wanapigia kampeni 'hewa'...
   
 15. R

  Ramos JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hadi sasa matokeo ni

  Yes; 108 votes = 63.16%
  May be; 17 votes (9.94%)
  No 46 votes (26.9)
  Total votes 171
   
 16. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Your suggestion is next to impossible
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu JF is open for every to join and contribute, JF wanashindana kwa hoja, Ukileta Hoja utajibiwa kwa Hoja, Ukiona CCM au CUF wanaliogopa hili jukwaa Tutufu la JF Ujue wana walakini, sasa usiwalazimishe watu humu JF wapige ngoma uanayoitaka wewe, kama una aina yako ya Ngoma ( Iwe ya CCM, CUF, DP, TLP) iweke humu ichezwe. Ukiwaona CCM, CUF na wengine wanashindwa kuja hapa ni aidha waoga wa kupambana kwa hoja au Hawana Hoja
   
 18. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  "Dr. Slaa alifukua mizizi ya Ufisadi Bungeni, Sasa tumpe Jembe akaing'oe" Ndege ya Uchumi 2010
  UKIONA VYAELEA VIMEUNDWA WAKUU.........IT TOOK MORE THAN 40YEARS TO BUILD CCM........HOW MANY YEARS FOR CHADEMA? CUF shakes in the isles.......NCCR SHOWED HOW THE OPPOSITION SHOULD BE...........BUT ONE THING I SEE.....DISUNITY among opposition will fell them apart....! take my words......!
  JOIN NOW.....CUF,CHADEMA,TLP,DP,UDP....AND HAVE ONE VOICE FOR PRESIDENCY YOU WILL HAVE MY SINGLE VOTE.......FANYENI KAMA MNAVYOFANYAGA ....CUF LWAO.....CHADEMA LWAO......NCCR LWAO...TLP LWAO.......I WILL THINK WHERE TO CAST MY SINGLE BALLOT...!
   
 19. M

  Mutu JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe mbona your mind runing so slow ,uko slow mpaka unakera ,maana mtindio wako wa ubongo uko slow kisha unatakakujifanya smart wajua ndipo unapo kera.Poll ya Daily new ,jisikilize na ww unavyo tapika maana si kuongea .

  Wake up,sio unajiita Mahesabu kisha zero ..nada .
  Jamani ndio vibaraka wa CCM hawa akiwa kada machachari anapewa ukuu wa wilaya ,mkoa dundio maana tupo tulipo.Ila mwisho wenu umifikaand this isthe begining of the end kwa papa wala watu fisadi wakubwa
   
 20. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mimi vyombo vya serikali ubadilika na utawala. KBC sasa hivi haiwezi kusema "mtukufu Arap Moi" au kusifia KANU. Ni PNU. So msihofu
   
Loading...