Mgombea CHADEMA aliejitoa kugombea ubunge nkenge,ataganza bado ni mgombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea CHADEMA aliejitoa kugombea ubunge nkenge,ataganza bado ni mgombea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Sep 23, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Juzi tulitagaza kupitia jukwaa hili juu ya bw focus rwegasira wa jimbola nkenge kujitoa katika kugombea ubunge

  hivi sasa anahutubia wananchi bukoba mjini eneo la soku kuu anadai kuwa yeye bado ni mgombea

  update zaidi endelea kuwa on jamii forums
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nilijua hapa pumba na mchele zote zinapatikana!
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  habari njema hizi mkuu..!
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  news zaidi mkuu
   
 5. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nilijua ni umbea tuu
   
 6. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye ni mgombea wa nkenge anahutubiaje sokoni bkb mjini jimbo lisilo lake?
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  TutASIKIA mengi jamani, lakini wajue kuwa mwisho wa reli ya kati ni Kigoma na mwanza kwa upande mwingine.
   
 8. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160  Huu ni mkutano wa Lwakatare na madiwani Bukoba mjini,amekaribishwa tu

  ndiyo maana ameongea mwanzo,mkutano unaendelea,wafanyabishara wanasikiliza sera za Chadema ili wampime Lwakatare na Kagaseki wa CCM Pamona na Kasimbazi wa CUF
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  then mtoa mada anakurupuka kwani kaleta zote na anatuchanganya... combine these threads and close
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  habari ilishaletwa na mchukia fisadi kuwa kaamua kurudi kutetea jimbo (@_@)
   
 11. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Asante mzee umesikika kwa sauti!
   
 13. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160

  Bwana sikiliza.
  hapa kilichofanyika ni uongozi wa CHADEMA kukaa na focus na kuongea naye juu ya uamuzi wake huo

  kimefanyika kikao cha kumuomba abatilishe umamuzi wake,kwani alishapeleka barua kwa mkurguenzi miseenyi kuomba kujitoa huo ndiyo ukweli ,HATUPIGI RANGI UKUTA SISDI,

  Na kwa taarifa yako post ya jana imesaidia pakubwa kurekekisha mambo baina yaske na uongozi CHADEMA

  Ukitaka mambo yawe wazi tuweke humu barua aliyopeleka kwa mkurugenzi baada ya kuapa mahakani

  watu tuko makini,hapa hakuna siasa na wengine siyo wanasiasa
   
 14. j

  joka Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTEQUOTE]JOKA
  Nasema ili mambo yawe hadharani, na kwa kuwa wewe si mwanasiasa, naomba uweke mambo hadharani kila kitu kiwe cha uhakika. wasome waelewe kati ya pumba na mchele
  tuache longolongo
   
 15. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rutunga Ili kukomesha Ubishi Weka hizo nyaraka hapa janvini
   
 16. d

  dadakuona Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nawashangaa wagombea wa chadema wanakurupuka hawana dira wala muelekeo mara amejitoa mara anatangaza kurudi huku kweli si kukosa dira????

  Chagua CCM mpe kura za ndio DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 0KTOBA 2010
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tanzania bila wehu inawezekana ! Hatumtaki mlea mafisadi huyo
   
 18. j

  joka Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dada kuona nakuunga mkono sana kwani tunawasema mafisadi wakati hao hao ndo mataikuni wa ufissadi kinachosumbua kwa vile
  hawana nafasi ya kutuibia. wakiipata watatumaliza kabisa.

  CCM NDO BABA NDO MAMA ICHAGUE IFANYE KAZI KWANI WALOBAKI WANASINDIKIZA TU. MUNGU IBARIKI TANZANIA WABARIKI
  WATANZANIA WOTE.
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Habari hii haijakaa vizuri, inawezekana taarifa ya awali ya kujitoa ikawa ndio sahihi. Gazeti la Daily News la leo limeripoti kuwa amejitoa, kwani kama aliandika barua ya kujitoa kwenye sheria ya uchaguzi kuna kipengele cha kufuta barua ya kujitoa?
   
Loading...