Je mishahara mipya kwa wafanyakazi imeishaanza kulipwa?

Boramaisha

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
820
18
Wakuu,
Tulitangaziwa ongezeko la mishahara ya wafanyakazi. Lakini habari zilizopo ni kwamba mishahara hiyo mipya wala haijaanza kulipwa na wafanyakazi hawajaambiwa ni lini itaanza kulipwa. Je, huo ni muendelezo wa usanii wa Serikali na CCM yenyewe?
 
Mishahara ni resource si kutamka tu.Kashehe utekerezaji wake, wataweza??? KWANI vyanzo vya mapato vimeongezeka??? hapo ndipo the difference is made btween Dr.Slaa na JK. Dr.sLAA anaongelea kuongeza mishahara sambamba na kuongezeka kwa vyanzo vipya vya mapato kama vile kulipiwa kodi mafuta yanayotumika migodini na pia kufufua viwanda kama Gen.tyres ambapo kampuni za madini zitatumia matairi ya ndani.

Yaanii wewe acha tu somo la Dr.SLAA LIMEELEWEKA SANA
tunasubiri kupiga kura tu kwa hakika huyu jamaa anaweza kuibuka na 76% za mtandaoni kama wizi haupo kwani somo lake limeeleweka na ni TANGIBLE
nAWASILISHA
 
kuna rafiki yangu wizara ya mambo ya ndani alisema mishahara hiyo walishalipwa tangu july 28,kwa masharti kwamba wasiseme ingawa uzalendo ulimshinda akasema
 
Serikali inatakiwa kuwa na vision.Vitu wanavyodai haviwezekani mpaka lini?Give us time frame.Hiyo niserikali kipofu.
 
kuna rafiki yangu wizara ya mambo ya ndani alisema mishahara hiyo walishalipwa tangu july 28,kwa masharti kwamba wasiseme ingawa uzalendo ulimshinda akasema

Sababu ya kuuliza swali hilo ni taarifa niliyoipata kutoka kwa mfanyakazi mmoja wa Serikali kwamba mishahara hiyo bado haijalipwa na hawajui watalipwa lini. Namwamini mtoa taarifa hii kwa sababu Serikali imefuta baadhi ya mambo ikiwemo SHIMIWI kukiwa na wasiwasi kwamba fedha nyingi za Serikali zimeingizwa kwenye shughuli za uchaguzi.
 
Mimi nawashauri wafanyakazi wa serikali, Kama mishaara imeongezwa, ni haki yao, hivyo wapokee lakini kura kwa DR.SLAA
 
Usanii mtupu. CHANGE, Yes we can!!!! Vote for SLAA 2010.
 
Back
Top Bottom