Kampeni za JK leo - Manyara na Mara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za JK leo - Manyara na Mara

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wambugani, Sep 24, 2010.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  0
  Kampeni za Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Leo

  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameanzia kampeni zake leo mkoani Manyara, wilaya ya Ngorongoro, Loliondo.

  Baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni Ngorongoro, msafara wa Mheshimiwa Kikwete utaelekea Mkoani Mara ambapo atafanya mkutano wa kampeni Mugumu na Shirati.


  SOURCE: Blogu ya Jakaya Kikwete

  Hivi Ngorongoro ipo Mkoa wa Manyara? Maana mabadiliko kila kukicha.
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kutuhabarisha. Lakini naomba nikusahihise Wambugani, Ngorongoro na Loliondo zipo Mkoa wa Arusha. Tunaomba picha kama unakontakt za mikutano ya huko.
   
Loading...