MPANGO mbaya dhidi ya kura...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MPANGO mbaya dhidi ya kura......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msanii, Sep 23, 2010.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wanajukwaa,
  Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na mkakati wa kuiba kura na kuzitupia ktk vyama vingine vya upinzania ili ionekane wamegawana kura na CCM wamepita kwa ushindi mwembamba. STUKA

  Nimeongea KIJERUMANI hapo
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ... msanii hujaacha mafumbo yako tu?
   
 3. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Umeongea Kiswahili, ngoja nami nitafakari uwezekano wa mkakati kama huu kutekelezwa!
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Kuwakatia mawakala wa vyama pinzani mlungula na kupindua matokeo!
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mama Mdogo nili ku miss
   
 6. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama nimekuelewa hivi:confused2:
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Siyo siri kwamba hali ya KISIASA ndani ya Chama tawala ni tete. kumekuwa na juhudi na mipango ya kila namna kuhakikisha kwamba jahazi halizami. Dhumuni la thread hii ni kujaribu kuvumbua kama si kuumbua mbinu za mwishoni ambazo CCM wanaweza kuzitumia ili kuponea tundu la sindano. Mbinu hizi zianze kuzungumzwa publicly ili zivunjwe nguvu na zisitumike tena.

  Nimehisi kwamba CCM wamepanga jambo kubwa linalokuja mbeleni siku chache kabla ya KURA kubadili hisia na kuwini favor za wananchi. Inawezekana baadhi ya visiki ndani ya chama tawala kung'olewa dakika za mwisho, kupoteza majimbo machache si hasara kama kupoteza urais. Serikali inaweza kuwaweka kikaangoni baadhi ya watendaji waliotikisa headings kwa ufisadi ili ionekane kwamba kuna mapambano endelevu (why now?).

  NB
  nimesoma kwamba TAKOKURU wanamchunguza Mrema wa SUMATRA na anytime watafikisha mtu mahakamani. (mtaji wa dakika za mwisho)

  je unawaza nini? watakuja na mbinu gani?
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimetoa ujumbe wa kinabii hapo shekhe.
  kuna mambo mengine si kuyasubiri yatokee. dawa ni kubwabwaja yale yenye kuleta tija ili wenye uwezo wachukue hatua
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ngoja nivunje ukimya kwenye hii thread. Mkuu supporters wa upizani (na labda vyama vya upinzani vyenyewe) haswa mwaka huu wana nishangaza sana. They are so confident kwamba wata shinda lakini at the same time wamesha andaa defense mechanism ya kwamba wata zulumiwa. In short kwao uchaguzi kuwa huru na haki ni wao tu kushindwa ila wakishindwa basi wame fanyiwa foul.

  Mkuu kama upinzani ikishinda ita kuwa very obvious na wala CCM hawata weza kuficha. Kwa mfano nasikia apparently polls nyingi zina mpa Dr. Slaa around 65-75%. Tanzania mtu kushinda uraisi ana hitaji 50%+1 kushinda. Sasa kama Dr. Slaa ana pewa chance kubwa hivyo ya kushinda assuming ana pata kura idadi hiyo CCM wata ziibaje na kuzi punguza mpaka ziwe chini ya 50%+1?

  Kuna mtu mmoja alisha wahi kusemaga "In Africa elections are only free and fair when the opposition wins". Hii ni demokrasia mkuu. Msi tangaze ushindi wa kishindo lakini at the same time mna kimbilia kusema kura zitaibiwa. Wengine wana jiuliza kama nchi ita kalika CCM ikishindwa mimi najiuliza kama hali ita kuwa tulivu kama upinzani ukishinda.


  Well nime fungua mkuu na kwa ufunguzi huu I guarantee thread yako ita pata replies nyingi. Na mimi ngoja nijitetee mapema nisema nasubiria kukaangwa na mashabiki wa raisi mteule Dr. W. Slaa.
   
 10. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuna Mtu atakufa kweli nini kama anavyosema mganga wa JK... :confused2:
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukaangwe kwani umekuwa ubuyu!!??
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Usihofu
  mchango wako muhimu sana shekhe. ila kama ninavyosema kwamba uzoefu unaonesha kwamba bila WIZI wa kura hakuna ushindi kwa CCM. hivyo kama wameuza nchi, wanakumbatia MAJAMBAZI, wanaua watu, wanakausha hazina na kadhalika. usitarajie kuwa mtakuwa waungwana kuachia kijiti ilhali mnajua mna kesi ya kujibu ndo maana hata midahalo mmeingia chaka
   
 13. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmejiandaa kuwalipa mawakala wenu fedha ya uhakika ili wasirubuniwe na CCM?!

  Coz nnavyojua mara nyingi kura hubadilishwa usiku wakati wa kuhesabu, kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani kupewa hongo halafu matokeo yanabadilishwa.

  Mmeandaa fungu la kutosha kuwalipa hao mawakala?!
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ...kwa hiyo mmewaweka kwenye bajeti yenu?
  mtawapa fedha lakini sisi tupo migongoni mwenu tutafichua kila kitu
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  chanzo cha wizi wa kura ni njaa na weledi mdogo ya mawakala juu ya dhamana wanayopewa ya kulinda haki za kikatiba za watanzania through freedom of choosing the leader they want

  Mawakala wakielewa dhamana waliyonayo, basi maisha yatakua mazuri
   
 16. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mwanafalsafa.
  Ikiwa patakuwa na uwanja sawa wa kuchezea mtu akifungwa na akilalamika hata dhamira yake itamsuta.
  Kwa jinsi ambavyo tumeona ni kuwa uwanja si sawa na hii inatoa nafasi kwa wapinzani kulalamika na siajabu kundi kubwa la watu lika sympathize nao.
  Tumeshuhudia mali ya umma ikitumika kwa chama kimoja,tumeona upendeleo wa wazi kwenye vyombo vya umma vya kutoa habari,tumeshuhudia mgombea mmoja akiongeza saa za kampeni.Billioni za kununua mahindi zimetolewa kipindi hiki wakati kilio kimekuwa cha muda mrefu na mengine mengi yanayoashiria ya kuwa iwe iweje ni lazima chama fulani kishinde.
  Nakuhakikishia kuwa wakitokea watu watatu tu jasiri kama Mtikila na wakafugua kesi mbili tu si ajabu tukaurudia uchaguzi karibuni na nchi ikayumba si kwa kujiuzulu PM lakini Rais.
  CCM wantakiwa wajitahidi wapate ushindi usiokuwa na matope lakini hili haliwezekani kwa watu wa calibre ta Makamba,Tambwe Hiza,Kinana RA na wengineo.
  Naamini (ingawa naomba Mungu aepushie mbali) mwaka zitatokea vurugu katika ngazi za majimbo ya ubunge.
   
 17. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nimesahihisa kidogo hapo juu (red)
   
 18. e

  emalau JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Mwanafalsafa1, CCM tunawajua ni wabunifu sana kwenye mambo maovu, kuna mwana JF alitufahamisha kwamba baadhi ya makontena ya vibox vya kura baada ya kutoka bandarini yaliwekwa kwenye godown ya muhindi na mengine yakapelekwa bohari kuu. Sasa kwa nini tusianze kuwa na wasiwasi?
   
 19. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  You have a point comrade; Ni kwamba fungu linatakiwa siku hiyo mawakala wasilie njaa.Imewahi kutokea huko nyuma mawakala walikuwa hawana hata senti ya kununua kiloba cha maji uhai-kwa sasa maji hayo hayapo-
  Mawakala wanatakiwa kuwa na mishiko ya kuwatosha kupata chai asubuhi, cha mchana na usiku kwa muda wote hadi matokeo yatoke.Chadema wanatakiwa waweke fungu la kutosha ni bora chama kifirisike lakini mawakala walipwe kwani the accrued benefit is material kwa kuwa kupata wabunge wengi ni kupata ruzuku nene.
  Ni muda mzuri wa kuwekeza katika mawakala kwani uwekezaji huo unafaida.

  Jukumu la wapiga kura kukaa mita 100 na kulinda kura ni agenda namba mbili.
  Nawasilisha
   
 20. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwa mawazo yangu nashauri nasi tuwaibie mwaka huu. Maadam wao wamejiandaa kuiba nasi tujiandae kuiba!:confused2:
   
Loading...