Mbu wa muhimbili pia ni agenda nzuri ya kampeni za uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbu wa muhimbili pia ni agenda nzuri ya kampeni za uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TIMING, Sep 24, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Nikiwa kama mdau, nimesikitishwa sana na jinsi serikali yetu na hasa wizara ya afya ilivyoshindwa na inavyoendelea kushindwa kupambana mbu ambao uthibiti wao si mgumu hivyo.

  Tanzania kama nchi inayopokea mamilioni ya dollar kila mwaka toka marekani kwa kupitia USAID, pia hupokea mamilioni mengine ya dola kupitia global fund na pia hupokea mengine mengi sana through reseach and development grants nyingine.... tumeshindwa kuthibiti vi-mbu vya pale jangwani

  Kiafya hii ni dalili tosha kwamba hatuna priorities sahihi au tuko bize kwenye wekshop na makongamano... siamini kwamba watanzania hawawezi kutimua wale mbu... Kama ilivyo ada bado tutasubiri mtu atoke nje kuja kuondoa tatizo

  Kisiasa, hii ni agenda nzuri sana kwa wale wapiganaji watokao majimbo ya ilala na kinondoni... tumieni hili rungu vizuri sana kwenye kampeni kwani ni kitu cha kusikitisha kwamba serikali ya ccm imeshindwa kutamini maisha ya wanamajimbo hawa ambao mchango wao kwa taifa could be next to none

  nawakilisha
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Hivi karibuni wizara ya afya walifanya mkutano na wawakilishi wa nchi wahisani na kuomba grant kwa ajili ya magonjwa kama matano hivi, wawakilishi walipoangalia mchanganuo wa pesa zilizoombwa waligomea hata kujadili wakauliza wht is this? maana 75% ya pesa zote zinazoombwa ni per diem lunches, transport allowances na brakfast allowances! Hii ndio Tanzania
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  cANA WE GET THAT SOURCE, IT WILL HELP US ALOT
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni kweli kabisa, angalia composition ya policy makers pale wizarani halafu tafuta background yao... we hawana utaalam na policy na kibaya zaidi wako kwenye evaluation and research mindset kuliko action oriented

  Kila siku utasikia tunafanya utafiti.... without any new research bado performance ya wizara yetu inaweza kuboreka kwa asilimia 2000

  Mbu wanatesa, sisi tunakampeni na perdiem zinachakachuliwa
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe mwandishi wa habari? if yes najua habari hii itauza sana mie nitapata asilimia ngapi?
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwanini wizara ya afya itwishwe mzigo wa kuua mazalia ya mbu? Hizi kazi zamani zikifanywa na mabwana afya ambao walikuwa chini ya halmashauri za miji; kwanini hawafanyi kazi hiyo hivi sasa? Hili swala la mbu wanaozaliana kwenye bonde la msimbazi lilipaswa kushuhulikiwa na halmashauri za jiji la Dar es salaam sio wizara ya afya!! Wizara inatakiwa kushuhulikia mambo makubwa zaidi kama vile kutafuta vitendea kazi vya kisasa vya hospitali zetu za rufaa Jakaya anazotuahidi huku mikoani kila leo na sio mamabo ya mazalia ya mbu!!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wizara ndio msimamizi wa sera na pia ndio monitoring portfolio... na kama wao wakiweza toa agizo au ombi basi uzito wao bas yatatekelezwa

  we unadhani wanakuwaje wa kwanza kutoa tamko, dira na makelekezo pakitokea kipindupindu same au mwanga??? soma vizuri documents zote [ya afya, tamisemi na prime minister utaona role ya wizara kwenye hilo jambo]
   
 8. H

  Hume JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Msijali wataandaa tamasha la muziki pale Leaders kuhamasisha uangamizaji wa mbu hao wa muhimbili.
   
Loading...