I came across this interesting article posted somewhere by a blogger.
You be the judge!!
Mkuu wa kaya pole na mihangaiko ya kampeni naona imepamba moto kweli kweli ! Uzuri ni kwamba libeneke...
Agenda Participation 2000 ni shirika lisilo la Kiserikali ambalo linajihusisha na masuala ya uchaguzi na elimu kwa umma juu ya uchaguzi na uraia. Juzi (Ijumaa) jeshi lilijiingiza katika siasa...
People who keep on doing things the same way, they will always get the same results they have always Got.
Kama tunaridhika na hali iliyoko, basi ukweli hatuhitaji mabadiliko mengine mazuri...
Thursday, 30 September 2010 20:09 0diggsdigg
Exuper Kachenje
KATIKA kusaidia sekta ya elimu nchini, kampuni ya vifaa vya elektroniki ya Dell ipo mbioni kusambaza kompyuta milioni moja kwa...
Harakati za kujipatia ushindi wa kishindo zimeendelea leo baada ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kumnadi mgombea ubunge huko igunga kwa tiketi ya ccm mh. Rostam Aziz, asema ni...
Hope hawatatuwekea tena zile picha za vita ya rwanda kwenye public tv stations kama kipindi kile ilikututishia kuwa tusipo wachagua yatatokea kwetu... WATANZANIA 2010 HATUDANGANYIKI!
gharama ya kuikomboa nchi ni kubwa na inahitaji watu wenye mioyo migumu watakaojitoa kwa hali na mali
tumekuwa tukilalamika kuwa kwenye baadhi ya majimbo kuna wagombea ni mafisadi PAPA na...
FACTBOX-Key political risks to watch in Tanzania
Thu Sep 30, 2010 3:24pm GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Sept 30 (Reuters) - Tanzania, east Africa's second largest economy...
Kuna mchangiaji katoa haya maoni kwa kweli nimeyapenda
anasema:-Kwa kweli nimeyakubali yale maandiko yanayosema YAACHENI MAGUGU NA NGANO VIOTE PAMAJA . Na itakapo fika wakati wa kuvuna sisi...
Wana jukwaa kuna kura ya maoni kwenye tovuti ya Radio Free Africa (Radio Free Africa | The Sound Of Africa) inayohusu nani wadau watamchagua kuwa rais. Matokeo mpaka sasa ni Dr. Slaa (80%), JK...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa endapo atachaguliwa tena ataanzisha mpango maalum wa kuwakopesha zana wavuvi katika...
Jumapili, Septemba 12, 2010.
Na Maggid Mjengwa,
HUU ni mjadala niliouanzisha kule kwenye jukwaa la Jamii (www.jamiiforums.com). Nauendeleza hapa ili uwafikie wengi zaidi.
Ni tathimini...
Kuna habari Zimenifikia hivi punde kutoka urambo tabora kuwa jeshi la wanyama pori
Urambo, Tabora limechoma nyumba za kijiji kimoja na kuua watu 25 kwa kuwasingizia
kua ni Majambazi.
Watu hao...
By Patrick Kisembo
1st October 2010
Germany`s Ambassador to Tanzania, Guido Hertz, gestures as he stresses a point during yesterday`s exclusive interview with The Guardian...
Lazima kitumike kidogo kupata kikubwa si kikubwa kupata kidogo. Maana hata kazi mbaya(ndogo) huzaa kazi nzuri (kubwa). Hatuwezi kuanza juu kushuka bali chini kukwea huku tukitumia kanuni ya hapo...
Ndg wan JF,
Kulingana na tathimini ya mwenendo mzima wa kampeni za uchaguzi kwa takribani siku 40, wapiga kura wameonyesha dhahiri kuwa CHADEMA itashinda katika majimbo yafuatayo; Hizi sio hisia...
Baada ya watu kuongelea saana kuhusu Kihehere1, 2 and 3 naona kampeni zao zime poa? kulikoni? wamekataa tamaa au nimi mimi kukosa mawasiliano nao/magazeti/redio au wanajadiliana kwanza. hatua za...
Bnafsi nilikua najua Dr. Slaa Atatembelea Iringa Tar 3 mwezi wa Kumi.
Nashangazwa katika mitandao fulani kuwa Dr. atakua Iringa leo. yaani tar 2 October.
Pita pita zangu mitaani wengi wanajua Dr...
Ujerumani yashangazwa kutoendelezwa Reli ya Kati
Na Mashaka Mgeta
Serikali ya ujerumani imesema ni aibu kwa Tanzania kuiacha reli ya kati inayoendeshwa na Shirika la Reli nchini (TRL)...