....but these CCM mofos know how to play the game (of politics). I am in the rock city right now and all you see is CCM ads...from billboards to placards to hats to just about every little thing...
Nikiwa njia kutoka mji mdogo wa katoro(busanda),ghafla wakati tunaaza kuingia gta mjini nje kidogo ya centre ya nyankumbu nikaona magari ya kampeni ya mgombea wa ccm yamesimama green gud wake...
Tukio hili nalilinganisha na jinsi mkuu wa Wilaya alivyo wachapa viboko waalimu huko Bukoba. Tofauti ni kwamba waalimu walichapwa kwa usimamizi wa askari. Huyu OCD ni kwa upuuzi wake tu maana kila...
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia...
Jamani nawaomba mrudi nyuma mtafakari zaidi juu ya mgombea huyu ambaye ni rais wa tanzania kweli anathubutu kutwambia watanzania kwamba ahadi nyingi alizozitoa ni za hapokwapapo??!!!inashangaza...
Ninawaomba wana CCM mnaoweka maslahi ya nchi mbele ya Chama mumuulize Mpendwa wetu mgombea wa CCM maswali haya kwa niaba yangu na ya wanachi wengine ili akanushe uvumi unaoenezwa juu yake katika...
Jk kaulizwa swali kuhusu ahadi anazotoa kila sehemu itakuwa vipi? Jamaa anajibu kisanii kwamba inambidi tu aseme japo hayako kwenye ilani kutokana na mazingira.
Duh, huyu ndiye eti rais
Waungwana nisaidieni neno hili,nimejaribu kufikiri kuwa yule mtendaji wa PROPAGANDA FIELD ndugu makambale ataficha uso wake wapi siku ile tukufu ya kuanza mapambano ya safisha safisha mapakashume...
Watu wanasema mwisho wa kulala ni 30-10-2010. RFA alfajiri hii wanasema majina yamebanduliwa Shinyanga. Fuatilieni udhalimu huu. Huku haya yakiendelea Prof. Lipumba amwunga mkono Dr. Slaa.
Kila...
Jamani, kweli tulikuwa tunaongozwa na viongozi wa dini kabisa hatukuwa na kiongozi wa serikali. Jamaa kathibitisha kabisa hawezi kuwatengua kwani mpaka hapo bado watuhumiwa. Inakuwaje wagombea...
Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la...
Kilavu ameyatoa majibu hayo wakati ajihojiwa jana TBC1 kuwa uchaguzi ni muhimu kwa rais, wabunge na madiwani. Hivyo suala la kusema kuwa mtu aliyeko nje ya kituo chake apige kura ya raisi...
Hivi uchaguzi ni ugomvi?? Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba, askari polisi kibao wameingizwa Dar na wamepelekwa Kurasini, kisa eti kuna vurugu!!! Hii wadau imekaaje? Source: a very close...
MALALAMIKO ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya kampeni za mgombea urais wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa kuwa zimejaa matusi, yalidhihiri jana pale kampeni za mgombea huyo zilipotumika kumtukana...
Taarifa ya ITV saa 12 (Hapa na Pale) inaonyesha kuwa kwenye kituo cha mabasi Ubungo watu wameongezeka sana kusafiri kwenda majumbani kwenda sijui wapi? Kupiga kura? What does this imply?
Kazi...
ebwana uchaguzi wa mwaka huu ni noma.Siamini mazee.nimetoka kuongea na mjomba angu sasa hivi shamba.Huyu mzee ni ccm damu miaka yote.Pamoja na mambo mengine,nilimuuliza kesho kutwa kura yake ya...