JK: Watuhumiwa wa ufisadi hatuwezi kuwatenga kwani ndo tulionao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: Watuhumiwa wa ufisadi hatuwezi kuwatenga kwani ndo tulionao

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mantissa, Oct 29, 2010.

 1. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Jamani, kweli tulikuwa tunaongozwa na viongozi wa dini kabisa hatukuwa na kiongozi wa serikali. Jamaa kathibitisha kabisa hawezi kuwatengua kwani mpaka hapo bado watuhumiwa. Inakuwaje wagombea ubunge n.k walikuwa wakiondolewa kugombea nafasi zao? Huyu fisadi tu, aondoke.
   
Loading...