Elections 2010 Nimechukia sana......hii sio demokrasia tuitakayo

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Nikiwa njia kutoka mji mdogo wa katoro(busanda),ghafla wakati tunaaza kuingia gta mjini nje kidogo ya centre ya nyankumbu nikaona magari ya kampeni ya mgombea wa ccm yamesimama green gud wake wakimpiga mwendesha baiskeli kwa kumchangia eti amewaonyesha alama ya chadema,ni kitendo cha ajabu sana kufanywa na watu wenye akiri timamu,tanzania yenye amani inatoweka
 
Haw did i know?soma vizuri nilichoandika green gud always in there uniform,magari mawili ya msafara wa mgombea yamesimama halafu jamaa wanampunish
 
dawa yao ni kuwanyima kura tu, hivi nini kinawafanya wadhani tanzania nia ya kwao peke yao, watu wanaoogpa midahalo kama ukoma, eti wapewe maswali kwanza, hii si ni sawa na mtahiniwa kujitungia mtihani au mnasemaje washkaji?
 
Ticha aliwaambia kama hamtaki mtiani wangu basi kila mtu ajitungie swali alaf alijibu. Cha ajabu wa kwanza alipata 40% na nusu ya darasa waliandka majina yao na kukusanya karatasi,yani ata swali kulitengeneza ikawa ishu. Ndo mambo ya jamaa wa mdahalo wa leo usiku. Umepewa maswali ukadesa alaf unapata kigugumizi kujibu,unaishia kunywa maji a.k.a dripu. Aya bwana!
 
Yaani imebidi nicheke maana ni kweli ndicho kilikuwa kinafanyika kumwa maji kwingi na story nyingi badala ya kujibu maswali....Kikwete bye bye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom