Hivi MAKAMBALE ataficha uso wake wapi siku ya kiapo cha dr.Slaa?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Waungwana nisaidieni neno hili,nimejaribu kufikiri kuwa yule mtendaji wa PROPAGANDA FIELD ndugu makambale ataficha uso wake wapi siku ile tukufu ya kuanza mapambano ya safisha safisha mapakashume mafisadi,siku ya kumwapisha dr. Silaa?:israel:
 
Kuwaza kuwa Dr. Slaa ataapishwa kuwa Rais katika mazingira ya sasa ni sawa na kuwa na 'winter' yenye theluji Dar es Salaam!
 
Theluji itajaa Dar es Salaam mwaka huu just wait and see ,usije tafuta kamba kujinyonga tuu huamini katika mabadiliko
 
Dr slaa bado anawakati mgumu kwa sababu hakuweza kufuka kila wilaya ya Tanzania, mfano nilikuwa mkuranga jana wanasema hawamjui na wala hajaenda hapo wilayani kwa kampeini. Kwa watu makini ambao ni objective siyo subjective ni tatizo kwa sababu watu wanahamasika kukupigia kura kwa kampeini ama sivyo n i wachache sana watakupigia. kwa kukosa kwenda sehemu nyingi kwa chama cha upinzani maana yake amekosa kura nyingi kwa kujumlisha wilaya zote ambazo hakufika, na hizo wilaya zote watapigia CCM.
baada ya uchaguzi itaanza ooo ccm wameiba kura, kumbe kura wamejiibia wenyewe chadema,
 
wewe unaongea ukijua unachoongea ? mkuranga kuna kura kiasi gani nani ahangaike na watu rigid by the way.Angalia population ndio ulopoke uone mkwere amerudi Mwanza jiulize ...............
 
wake up sir/ madam, it's already 9:01 Am .
 
yu wapi:llama::llama::llama::llama::llama::llama:??????????????????????
 
Whats the point ya kumdiscuss huyu Katibu Mkuu wao. Leta issues and dont waste time to beat dead horses bwana!!
 
Kuwaza kuwa Dr. Slaa ataapishwa kuwa Rais katika mazingira ya sasa ni sawa na kuwa na 'winter' yenye theluji Dar es Salaam
Labda tumuunganishe Makambale na Ustaadhi ambao wote siyo waumini wa imani ya CCM isemayo "Cheo ni dhamana sitakitumikia cheo changu kwa manufaa yangu binafsi" kama fisadi nambari one JK afanyavyo....................!
 
Anauozoefu wa Kushindwa. Kule Tarime wakati wa uchaguzi mdogo alitorokea Mwanza Usiku.
 
wewe unaongea ukijua unachoongea ? mkuranga kuna kura kiasi gani nani ahangaike na watu rigid by the way.Angalia population ndio ulopoke uone mkwere amerudi Mwanza jiulize ...............

Mkuu MUTU, mawazo yako naona ni yakupoteza na ndilo tatizo la Watanzania wa mawazo yako na kupiga hatua kwa mawazo kama hayo ni ngumu. Kura za mkuranga kama unazidharau na hujui ni ngapi, fikiria ni wilaya zote katika Tanzania ambazo hakufika jumla utapata mamilioni mangapi? je kama angefika 'gap' kiasi gani la kura lingepungua. Kumbuka methali ya kiswahili isemayo Haba na Haba hujaza kibaba' na moja na moja siku zote ni mbili katika namba, Nashangaa sana kama wewe hili hulioni na unalipinga.
 
Back
Top Bottom