Elections 2010 Jk university of mwenge ni ya serikali?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Jk msanii eti serikali imeandaa waalimu wa science kwa univ of mwenge marangu!swali ni ya govt au kkkt?
 
mh this guy kwa kweli hafai ati synovate wanatoa hela ni wazungu redet wanaotoa hela ni wazungu hahahahaha
 
kwa hiyo govt haiku play role yake.wananchi wamejenga shule wametimiza wajibu wao!serikali haikupeleka waalimu na haikutoa muongozo wa kujengwa maabara
 
Back
Top Bottom