Watanzania sikia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania sikia!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Oct 29, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,254
  Trophy Points: 280
  Jamani nawaomba mrudi nyuma mtafakari zaidi juu ya mgombea huyu ambaye ni rais wa tanzania kweli anathubutu kutwambia watanzania kwamba ahadi nyingi alizozitoa ni za hapokwapapo??!!!inashangaza sana nawasiwasi juu ya mgombea huyu??,anaulizwa swali kuhusu sura ya serikali ijayo atakayoiunda anaongelea teknorojia ya habari?ICT kwakunganisha shule zote za sakondari zilizopo wilayani kwenye network moja ya fibre?je mwananchi wakawaida anajua nini kuhusu fibre?je huo umeme ukowapi?wakati shule hazina milango,walimu,viti,vyoo!!hapana msifanye mzaha kwenye maisha yawatu.CCM mlipofika basi hebu kaeni pembeni mpokelewe kijiti kwani mbio zenyewe nizakupokezana vijiti na wala siyo mita 300 kuzunguka uwanja pekeyako bali nimbio za kupokezana!siyo kama mnavyotaka kjzifanya marathoni!!
   
Loading...