Kiravu apigilia msumari wa mwisho kuwa walionje ya vituo vya kupigia kura no voting | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiravu apigilia msumari wa mwisho kuwa walionje ya vituo vya kupigia kura no voting

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 29, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kilavu ameyatoa majibu hayo wakati ajihojiwa jana TBC1 kuwa uchaguzi ni muhimu kwa rais, wabunge na madiwani. Hivyo suala la kusema kuwa mtu aliyeko nje ya kituo chake apige kura ya raisi halikubaliki na pia itakuwa ni vigumu kujua kudhibiti upigaji kura mara mbili eti watashindwa kujiua kama huyo mtu hajapiga kura kwenye kituo cha awali. kwa kweli mwaka huu wamedhamiria kuhakikisha wimbi la vijana ambalo limejiandikisha kwa wingi, ambalo hupenda mageuzi na ambalo huathiliwa na mfumo wa kubadili sehemu za kuishi kutokana na utafutaji halipigi kura.

  wataalamu watusaidie ni kwa jinsi gani hili kundi lililohama hwa hiari au kuhamishwa kwa lazima baada ya kufungwa kwa maboresho ya daftari la wapiga kura linaweza kusaidiwa ili angalau liweze kupiga kura ya rais?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli uhakiki unafanywa kenye kitabu tu bila kutumia tovuti ya NEC the anachosema ni sawa kabisa. Otherwise watu watapiga kura mara kumikumi!!
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Who the hell is this Kiravu??
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  The dude is a older broda from anada mada of a poll rigging genius from Kenya who also have a name starting by an alphabet K! :hippie:
   
Loading...