Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Who are the people behind DataVision??????????? This will give us a clue on the integrity of the votes we will be casting on Sunday. It is shocking that the GoT do not have a server to host its organs' websites.
Ngoja nisiseme sana bila kuwa na uhakika na wamiliki wa DataVision, usikute ndo akina Shamte au Rostam, etc.
ahhhhhhhhh kumbe? tujulishe ni yapi?naanza kupata tafsiri ya mchoro huu
kweli kabisa yana mwisho ila tuna mwendo badoDuh...:bowl: Yana mwisho....
bakia kuwa analytical wa habari za "Siasa" mambo ya Kitaalamu ya IT yaache....Unaweza eleza ni Risky kiasi gani?Hata kama wanatumia BigIP bado ni risky sana kutumia IP moja kwa systems zote hizo.