Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu ambao hamjawa converted kumpigia kura dr. Slaa (yaani bado mnadhani mtampa kura zenu Kikwete) jiulizeni maswali haya kumi. Una maisha bora? Wezi wa EPA wamepatikana? Amekutajia wale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
It is the style of deliveries of their speeches that separated the two wolves from the sheep and I must say Mzee Mwinyi is a truly an exemplary statesman deserving all to emulate........He had...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yanasemekana yamepangwa ili kura ziibiwe! Naomba kama kuna dalili huko mtaarifu. Katika gazeti la msemakweli jana tulipewa namba ambayo tunatakiwa kutumia kutoa taarifa kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Friday, October 29, 2010 Mchakato wa kuapishwa kwa mawakala Jimbo la Singida Mashariki-Uchakachuaji ukatishao tamaa Jana nilikuwa kwenye mchakato wa kuapishwa kwa mawakala watakaosimamia na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais JK... nilipokusikiliza asubuhi ya jana redio Clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya...
0 Reactions
107 Replies
9K Views
CCM inakiuka miongozo ya katiba yake, ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Azimio la Arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea, kama ifuatavyo: MISAADA NA MIKOPO VITAHATARISHA UHURU WETU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Itahesabika kuwa imeharibika ikiwa karatasi ya kura iliyohesabiwa itatobolewa na office punch? ikiwa ni la nadhani kwa wale wanye uwezo wa kupata kitoboleo karatasi itawazuia wachakuaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ni maneno ya Benjamin Wiliam Mkapa, ambaye aliendesha kampeni za vitisho zilizowakatisha Wananchi tamaa ya kutokea mabadiliko ya uongozi. Kwa sehemu kubwa sasa katitika kampeni ambazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF,Ndugu wafanyakazi na wale wote wanaowategemea, kesho ndiyo siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu ya kumdhihirishia Kiwete kuwa Wafanyakazi si watu wa kubeza,kudharau,kutukana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAELEKEZO YA KUOIGA KURA YA RAIS. Ukipewa karatasi, ANGALIA PALIPOANDIKWA DR. SLAA AU ALAMA YA VIDOLE VIWILI, TIA TIKI HAPO. UTAKUWA UMECHAGUA RAIS MAKINI. TUMA KWA WATU 20
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakati Zanzibar Wakiendelea na Ubishi wa Mafuta yao, ambayo hawajawahi hata kuyaona wala kufanyia utafiti !!! Wataalam wa TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation )...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Age 40yrs and below wengi wetu hatuoni majina yetu katika vituo vya kupigia kura. tufanyeje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dr. Slaa yuko Live kwenye Radio Saut Mwanza sasa hivi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani jambo jema ni kuwa, muda huu nimetoka kuongea na Mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi. Anasema tayari wapo kituoni wakiandaa mazingira ya upigaji kura na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Mama Dr Batilda amefunga kampeni zake uwanja wa NMC kwa viroja vya aina yake.Kabla ya mkutano kuanza kuliwa na maandamano makubwa ya magari,pikipiki,baiskeli na waenda kwa miguu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu leo tumeshuhudia kampeni zikifungwa rasmi Tanzania nzima. Wakati akifunga kampeni hizo wilayani Hai,mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman Mbowe alitoa wito kuwa Tanzania ilikuwepo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu... Kesho tunapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwa... regardless of results, nchi itaendelea kuwepo na nadhani tukisie kidogo baadi ya matukio muhimu Mimi ntaanza na hali ya fedha, kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaji Lewis Makame, M-Kiti wa Tume Rajabu Kiravu, Mkurugunzi wa Uchaguzi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia kuwa CCM wameambizana kuwahi kupiga kura asubuhi sana baada ya hapo green gaurd wata azisha fujo wakiwa na kombati za CHADEMA NI KWELI?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…