Kwa mashabiki wa CCM, malaria Sugu na wanaofanana na hao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mashabiki wa CCM, malaria Sugu na wanaofanana na hao

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 30, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu ambao hamjawa converted kumpigia kura dr. Slaa (yaani bado mnadhani mtampa kura zenu Kikwete) jiulizeni maswali haya kumi.
  1. Una maisha bora?
  2. Wezi wa EPA wamepatikana?
  3. Amekutajia wale waliorudisha fedha za EPA?
  4. Amewachukulia hatua gani baada ya kurudisha?
  5. We mfanyakazi, amekwambia wazi wazi kuwa anahitaji kura yako?
  6. Unajua hatima ya Kigamboni, Mbagala na wengine waliohamishwa bila kulipwa fidia?
  7. Kati ya ajira milioni mbili,umebahatika moja?
  8. Wazee wa Afrika masharikiwamelipwa?
  9. Unajua lilipo kaburi la Mtanzania mwenzetu DAUDI BALALI?
  10. Kwanini Anaogopa midahalo mpaka anamtuma Kinana badala yake?
  :sad:
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK hana kura; hatudanganyiki; Zanzibar pia ni Seif; Mkapa katoa vitisho tena wakati alisababisha umwagaji damu 2001; hata hajasahau, nawasiliana na wanasheria niwenze kufungua mashitaka dhidi ya JK maana amenitumia message ambayo naona ni kuingilia uhuru wangu wa faragha; nipeni vifungu nifanye hivyo
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Laiti kama kura zingekuwa tunapiga humu JF!
   
 4. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa raha sana. Zisingechakachuliwa. Lazima angeshinda mwenye haki
   
Loading...