Yaani inasikitisha jinsi software ya uchaguzi ya NEC ilvyojaa wadudu(bugs)!! angalia jinsi wasimamizi kule Kilombero walivyoshindwa kuitumia na mwishowe kuamua kujumlisha matokeo ya vituo kwa...
Nimekuwa nikifuatilia uchaguzi huu wa TZ kwa karibu, kuna jambo moja sijaelewa, je kama results ni tume tu inasoma i mean za urais, sasa nani anafuatilia kama tally iliyopatikana mkoani au...
Kwenu Watanzania wenzangu mnaoitakia mema nchi yetu,
Kuna maneno ya ushawishi yameanza kuenezwa kupitia kwenye mtandao kwamba Dr. Slaa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo watumie uungwana kwa...
Ni matumaini yangu wote tumekuwa mashuhuda wa mabadiliko makubwa ya kisiasa na demokrasia miongoni mwa watanzania kwa kufanya maamuzi sahihi hasa katika nafasi za Ubunge. Tumeweza kuona sura mpya...
Wapigakura wanaghadhabu nchi nzima na hawaafiki na kile kinachoendelea na hususani sehemu ambazo CCM imefanya vibaya matokeo kucheleweshwa kusomwa au kugeuzwa ili kuibeba CCM............
Haya ni...
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje...
Wananchi, hasa wapenda mabadiliko wamezunguka majengo ya halmashauri wanasubiri matokeo rasmi kwa hamu. Mgombea wa ccm (blandes) alitoweka eneo hilo tangu jana jioni.
Ni vituko vilivyojitokeza katika moja ya vituo vya kupigia kura eneo la kituo cha fire, eneo lililozungukwa na kambi ya polisi dr. Slaa alishinda kwa 80%.
Na wengine waliopangiwa kusimamia vituo...
Uchaguzi umefanyika na kwa kiasi fulani umetoa matokeo yanayoonyesha wanaharakati nchini wanaendelea kuimarika. Lakini najua hii haikuwa target yetu. Unadhani nini kifanyike ili mapungufu ya sasa...
This is very shame haiwezekani kwa jimbo la Nyamagana akaacha majukumu ya msingi kuja mwanza kulazimisha matokeo yatangazwe ndivyo sivyo kwa kutumia rasilimali za watanzania, kuna nini jimbo la...
Hali ya jiji la Mwanza kwasasa si shwari kama wengi wanavyodhani, kwani imeonekana kama majimbo yote ya mjini yameweza kuchukuliwa na upinzani basi hata mapinduzi yanaweza kufanywa.
Ulinzi...