Slaas Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaas Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwanini, Oct 26, 2010.

 1. K

  Kwanini Senior Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
  2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
  3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
  4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
  5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
  6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
  7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
  8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
  9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
  10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
  11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
  12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
  13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
  14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
  15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
  16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).
   
 2. K

  Kwanini Senior Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Libraries keep the records on behalf of all humanity. the unique and the absurd, the wise and the fragments of stupidity.
   
 3. K

  Kwanini Senior Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Because hypocrisy stinks in the nostrils one is likely to rate it as a more powerful agent for destruction than it is.
   
 4. K

  Kwanini Senior Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In truth, politeness is artificial good humor, it covers the natural want of it, and ends by rendering habitual a substitute nearly equivalent to the real virtue.
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Unapoteza tu muda ndugu yangu. Siku zenyewe zimebaki tatu tu, na wala hakuna kinachoweza kubadilika hivi sasa. Kama Slaa ni wa kushinda atashinda tu na kama ni wa kushindwa atashindwa tu. Propaganda zenu za kihuni dk hizi za mwisho hazitasaidia kitu.
   
 6. K

  Kwanini Senior Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Morality is the basis of things and truth is the substance of all morality.
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Njia hiyo ilifanya kazi mwaka 2005 kwa akina Salim huko CCM, siyo njia robust ya kuweza kufanya kazi kwa kila mtu nchi nzima.

  Uongo wote huo haufikii ukweli wa Kikwete kusema watoto wanaopta mimba shuleni ni viehele hele vyao, hazitaki kura za wafanyazi, ikitaka kula lazima uliwe (nadhani mwenzangu umeshaliwa tayari).
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jitahidi tu Mkuu. Mgaa gaa na Upwa, hali Wali Mkavu.

  Wanyamwezi tunasema "kula kwa mbwa, kuko miguuni."

  Tembea thread na thread, mafanikio utayaona.
   
 9. K

  Kwanini Senior Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Truth stands, even if there be no public support. It is self-sustained.
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Simjibu... Kwanini... nimjibu?
   
 11. v

  vickitah Senior Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  How do you know that he is lying na unataka tuamini what you are saying is true wakati una lots of speculations ndani yake..

  Mfano namba 1. huna uhakika unaelezea hisia zako, same kwenye namba mbili, jisome vizuri utaona
  3. Tupe link tukahakikishe data zako
  4. Katiba ya sasa ilitengenezwa katika mfumo wa chama kimoja, Inawezekana ilikua nzuri 1977 lakini the socio-economic as well as political environment imebadilika sana toka kipindi hicho. Argument yako hapa can be easily challenged, ts your opinion na sio TRUTH as you say.
  5. Unajua what happened in Zanzibar, mabadiliko ya katiba yanahitaji political will ( utashi wa kisiasa) As a president ana role kubwa katika hilo, trust me' Bunge na serikali vinafanya kazi pa1 kwenye hili. mpe nafasi akishindwa ndo useme.

  Kwa haya machache nadhani you shuld go back to the drawing table ujiandae upya.. nadhani unaongea hisia zako tu, sina uhakika hata kama yote unayo-mquote ni ya kweli maana hata basis ya arguments zako ni hisia tu'
   
 12. K

  Kwanini Senior Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Say not, 'I have found the truth,' but rather, 'I have found a truth.'
   
 13. K

  Kwanini Senior Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Of life's two chief prizes, beauty and truth, I found the first in a loving heart and the second in a laborer's hand.
   
 14. K

  Kwanini Senior Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you look for truth, you may find comfort in the end; if you look for comfort you will not get either comfort or truth only soft soap and wishful thinking to begin, and in the end, despair.
   
 15. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  :israel:Kwanini........And the truth doesnt exist.......
   
 16. K

  Kwanini Senior Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Reason is the natural order of truth; but imagination is the organ of meaning.
   
 17. m

  mapambano JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well these are some of the question that needs clarification...tujadili hoja. Ukweli kuwa japo Slaa kama wengine wengi waliopiga vita ufisadi, it does not make them immune to other issues. Atakama Chadema mkichukia, huo ndio uwanja wa siasa...everything will be thrown at you, hata kama ulipiga vita ufisadi hiyo sio tiketi
   
 18. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  huna sababu mkuu, kichaa akikunyang'anya nguo chutama usimkimbize
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  lukolo, kwa mtizamo wako uhuni ni upi kwenye main topic?,hutaki/hamtaki ukweli?, unalazimisha?!
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Iam afraid its too late for you broda!...Keep these records in paper, tutazipitia mbele ya safari tukiwa naye kama rais!, na tutaona applicability wakati huo...
  Kwasasa huwezi kubadili hata milimetre ya situation!
  Pole, sina msaada zaidi na wewe!
   
Loading...