Kila mwanaJF anayependa mabadiliko, zingatia haya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mwanaJF anayependa mabadiliko, zingatia haya...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tuko, Nov 3, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Uchaguzi umefanyika na kwa kiasi fulani umetoa matokeo yanayoonyesha wanaharakati nchini wanaendelea kuimarika. Lakini najua hii haikuwa target yetu. Unadhani nini kifanyike ili mapungufu ya sasa yapunguzwe kipindi kijacho?

  Sihitaji mjadala kwa sasa. Baada ya harakati za uchaguzi, nitaileta hii thread hapa tujadili. Nimeileta leo ili watu mpate muda wa kutafakari. Najua huu sio wakati mzuri kujadili hili kwani wengi wetu tumekabwa na hasira na jazba kwa yanayofanywa na CCM...
   
Loading...