Mapinduzi ya ufarasa yahamia bongo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi ya ufarasa yahamia bongo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtembezi, Nov 3, 2010.

 1. M

  Mtembezi Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vituko vilivyojitokeza katika moja ya vituo vya kupigia kura eneo la kituo cha fire, eneo lililozungukwa na kambi ya polisi dr. Slaa alishinda kwa 80%.
  Na wengine waliopangiwa kusimamia vituo vya uchaguzi wakisononeshwa na ushindi wa jk.

  Hii inadhilishwa na mapinduzi ya ufaransa ambayo polisi waliungana na raia kuondoa utawara wa kiimla.
  KAA CHONJO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...