Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DK HARRISON MWAKYEMBE CCM 41,214 2 YUSUF KASANDE CUF 336 3 EDDO MWAMALALA CHADEMA 3,964 Ushindi wake ni wa 90.55 % ni mfano wa kuigwa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuendelea kuikumbatia ccm kulikooneshwa na watanzania licha ya ulaghai wa miaka nenda rudi nimekufananisha na maudhui ya wimbo wa mwanamuziki machachari wa kimarekani eminem unaosema i love the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. TEKELI, umepimwa katika mizani nawe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namshauri Mh.Lowassa katika kufanikisha harakati zake za kujisafisha aandae kongamano katika kanisa lake na kutangaza kutubu waziwazi na kuahidi kurudisha mali yote aliyopata isivyo halali kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania Daima la leo limeripoti matokeo haya ya awali pamoja na utata wa uhalali wake CCM imemgwaya Dr. Slaa kwa mchango wake katika kupanua demokrasia hapa nchini...........
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hapo tunasubiri matokeo yapi? Wenye kujua nipeni habari?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
KUNA NNINI KARAGWE:cool:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There are currently 8601 users online. 1247 members and 7354 guests Most users ever online was 16,925, 1st November 2010 at 04:40 PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
EU: CCM imebebwa na vyombo vya dola
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imenisikitisha sana kuona CCM,ilivyopora haki ya watanzania. Sasa CHADEMA wafanye nini? Nina pendekeza mambo yafuatayo Wadai tume huru ya uchaguzi na katika jambo hili wasiishie kulalamika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wanajukwaa. Ninatoa wito kwa wote ambao wamepokea zile sms kutoka namba isiyojulikana since ijumaa iliyopita kuhusu chadema na wameathiriwa na ile sms wajitokeze tuandilishe majina na namba...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani muda mfupi uliopita dkt Ali Mohammed Shein kaapishwa rasmi kuwa raisi wa awamu ya 7 ya uongozi Zanzibar. Mimi nilikuwa nikisikiliza matangazo kupitia redio lakini sikuwa na utulivu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Inasemekana Makongo Mahanga amebwagwa na mpiganaji Mpendazoe. =========== UPDATES: Kuhesabu kura kunaendelea (saa 6:28 usiku sasa) kama inavyoonekana kwenye picha chini
0 Reactions
218 Replies
30K Views
Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nachukua nafasi hii kukupongeza Dr. Slaa kwa kuwa mtu makini. Na watanzania makini wamekukubali. Wamedhihirisha hili kwa kuwapigia kura nyingi wagombea wa chama cha Chadema katika ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wachunguzi wa uchaguzi nchini Tanzania wamesema hakuna taarifa yoyote kuu ya dosari iliyojitokeza inayoweza kuathiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili. Uchaguzi Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
0 Reactions
33 Replies
4K Views
tukiwa tunasubili uongozi wa juu wa chadema kutoa tamko lao kuhusu zoezi zima la uchaguzi lilivyokua, mi nadhani mpaka hapa tumefanya vya kutosha. sababu naamini hao wabunge ishirini tuliopata ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…