Elections 2010 Swali : HIVI SPIKA WA BUNGE HUCHAGULIWA NA WABUNGE AMA RAIS?

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.
 
Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.

anachaguliwa na wabunge kaka
 
Ni swali zuri na inaonesha uko makini. Nami naongeza swali.

Je Spika ni lazima awe mwanachama wa chama cha Siasa?
 
We ulikuwa wapi siku zote hizi,, inaonekana hukusoma civics au uraia primary kabisaaaaaa
 
kaondoka nchini akiwa darasa la kwanza, haya ndiyo matatizo yenyewe!! elimu ya uraia inakosekana.
 
Kwa katiba ya Tanzania iliyoondoa haki ya mtu asiye na chama kugombea nafasi yoyote ya kisiasa - spika wa bunge lazima atokane na chama cha siasa lakini si lazima awe mbunge.
 
Ni swali zuri na inaonesha uko makini. Nami naongeza swali.

Je Spika ni lazima awe mwanachama wa chama cha Siasa?
sasa hapa ndio umemaliza

hapa ndipo udhaifu mkubwa'' wa katiba na taratibu za uongozi bongo'' unapojionyesha
 
Back
Top Bottom