NADHAMIRIA KUISHTAKI Zain kwa UCHOCHEZI

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,748
Jamani wanajukwaa.
Ninatoa wito kwa wote ambao wamepokea zile sms kutoka namba isiyojulikana since ijumaa iliyopita kuhusu chadema na wameathiriwa na ile sms wajitokeze tuandilishe majina na namba zetu tuwapeleke makampuni yetu mahakamani kwa kuingilia mawasiliano bila ridhaa yetu.

Mii kampuni yangu ni zain tukiwa watu kama 100 hivi tunaweza kuishikisha adabu na wao ndipo watawashtaki waliopenyeza huo ujumbe. Tuwadai fidia ambayo watatia akili.

makampuni mengine wafanye vivyohivyo. kama kweli tunataka haki na kukomesha siasa za maji taka ninadhamiria kufungua mashtaka.
naomba kuungwa amkono
 
nawasiliana na kituo cha msaada wa sheria wanishauri zaidi how to frame charges
 
HE, hata wewe unadai mabilioni tena!

lakini hawa watakulipa
 
kwenye mkataba wako na Zain mlikubaliana nini?

kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote kutoka namba usiyo ijua?

au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote wa kisiasa?

au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote unaoegemea kwa chama tawala?

lkn kabla ya yote hayo, una mkataba wowote na hao Zain kweli?
 
Nakubaliana na wewe japo mimi sijapokea nitajaribu kuwauliza waliopata hizo sms niwashawishi hapa lazima tutoe fundisho kwa hawa wawekezaji UCHWARA wenye lengo la kuharibu demokrasia nchini.Naamini wanasheria mahiri mtapata.

Ushauri: ni vema mkasema watakaojiandishe watajiandikishia wapi na lini?
 
Niliwasiliana na Ofisi ya mawakili (nitataja jina) wakasema kuwa hii ni kesi nzuri. lakini ninawasiliana na kituo cha msaada wa sheria ili waweze kusaidia kwenye ushauri na namna ya kuyaframe haya madai.
Kesho jumatano nitakuwa na jibu wehre to register walioumizwa na hizi sms za uchochezi.
Guys I am sirias kufuatilia hili.

kwenye mkataba wako na Zain mlikubaliana nini?

kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote kutoka namba usiyo ijua?

au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote wa kisiasa?

au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote unaoegemea kwa chama tawala?

lkn kabla ya yote hayo, una mkataba wowote na hao Zain kweli?
tatizo lako kila wakati unanipiga misumari ya utosini.
Lakini hawa zain hawana mkataba wanaosainishana na mteja. ila love your neighbor ni sheria njema kabisa
 
kwenye mkataba wako na zain mlikubaliana nini?

Kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote kutoka namba usiyo ijua?

Au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote wa kisiasa?

Au uliweka mkataba kuwa hutaki kupokea ujumbe wowote unaoegemea kwa chama tawala?

Lkn kabla ya yote hayo, una mkataba wowote na hao zain kweli?

kuwa nikipata ujumbe wa uchochezi au matusi kama aliyetuma hapatikani basi wao wanieleze, sasa wameshindwa.
 
jamani wanajukwaa.
Ninatoa wito kwa wote ambao wamepokea zile sms kutoka namba isiyojulikana since ijumaa iliyopita kuhusu chadema na wameathiriwa na ile sms wajitokeze tuandilishe majina na namba zetu tuwapeleke makampuni yetu mahakamani kwa kuingilia mawasiliano bila ridhaa yetu.

Mii kampuni yangu ni zain tukiwa watu kama 100 hivi tunaweza kuishikisha adabu na wao ndipo watawashtaki waliopenyeza huo ujumbe. Tuwadai fidia ambayo watatia akili.

Makampuni mengine wafanye vivyohivyo. Kama kweli tunataka haki na kukomesha siasa za maji taka ninadhamiria kufungua mashtaka.
Naomba kuungwa amkono

mkuu hata mimi nataka kuwafungulia kesi, tutakuwa pamoja.
 
Msanii, zumbemkuu

nilikuwa nawakumbusha tu loophole ya hizi kampuni za simu. kwa kuwa hawaweki mkataba na mteja, ni ngumu kuzikamata unless iwe wameweka mkataba na tcra kwa niaba ya mteja.
 
Msanii, zumbemkuu

nilikuwa nawakumbusha tu loophole ya hizi kampuni za simu. kwa kuwa hawaweki mkataba na mteja, ni ngumu kuzikamata unless iwe wameweka mkataba na tcra kwa niaba ya mteja.

kweli kabisa
 
Msanii, zumbemkuu

nilikuwa nawakumbusha tu loophole ya hizi kampuni za simu. kwa kuwa hawaweki mkataba na mteja, ni ngumu kuzikamata unless iwe wameweka mkataba na tcra kwa niaba ya mteja.
Mkuu wangu GAIJIN na wengineo.
Ni kosa kutoa huduma kwa jamii pasipo kuwa na all precaution ya kulinda maslahi ya mlaji. Sasa kama waliamua kutuingiza mkenge kwa kutuuzia lines za simu halafu wanatuhumiliate kisha wanasema hawana mkataba nasi kisheria hiyo ni kesi nyingine ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Kama hakuna mkataba na mhusika anajua umuhimu wa kuweka mkataba na mtumiaji basi mahakama itashawishika kuset precedent ya hii kesi kwa future kesiz mpaka sheria itakapokuweko.
Na kama TCRA wanatumia loophole hii ya kutokuwepo mkataba wa zain na sisi wateja, basi nao nitawajumuisha kwenye negligence ya kuachia uholela wa huduma bila taratibu maalum kumlinda mlaji. Kuna vitu kadha wa kadha nafuatilia leo kisha mchana narudi online kuwapa mwendelezo tukaanze kujiandikisha kwa mashtaka.
Tukiwashtaki zain, tigo, voda, zantel n.k. wao watajua where pa kufidia hizo gharama tutakazowatoza kwani waliruhusu kampuni zao kupitisha sms kwa watu bila ridhaa yao tena namba zenyewe zina kasoro hazitafutiki.
lengo langu ni mpaka kufikia kesho tumeshafile kesi mahakamani.
 
Makampuni ya simu ya TZ ya kizembe sana, sio hayo tu wanauza na phone records na sms zetu kwa bei poa sana. Mi nasubiri siku moja wanifanyie hivyo niwatoe kamasi...they will regret...
 
Yes Mkuu chupaku
nipo njiani kumwona mwanasheria anishauri
 
Ni kweli nenda kadai kwani hata mteja ana haki zake..zain wapaswa kujifunza kwa hili. Kila la heri
 
Mii kampuni yangu ni zain tukiwa watu kama 100 hivi tunaweza kuishikisha adabu na wao ndipo watawashtaki waliopenyeza huo ujumbe. Tuwadai fidia ambayo watatia akili.
Utawashitaki kwa kutumia sheria ipi?

Zipo " pre-emptor exemption clauses" nyingi zinazowalinda wao usifikiri ni wajinga vinginevyo wangelikuwa wamefilisiwa siku nyingi sana.............

Itabidi uthibitishe ya kuwa walikuwa wanajua mpango mzima wa hizo sms jambo si rahisi sana kulithibitisha mahakamani...........The burden and standard of proof places the onus right on the shoulders of the accusers......................
 
watakachosema ni 'hawajasoma' kilichoandikwa kwenye hizo msg ulizotumiwa kwa sababu ya kulinda privacy yako. (sheria inawataka wasisome msg anazoletewa mteja)
 
Mkuu always a good lawyer strive to win a case by leading his/ her witnesses to be firm and give proper evidence before court of law.

watakachosema ni 'hawajasoma' kilichoandikwa kwenye hizo msg ulizotumiwa kwa sababu ya kulinda privacy yako. (sheria inawataka wasisome msg anazoletewa mteja)
Hiyo siyo kabisa labda uniambie wewe upo kwenye hayo makampuni. ila naona mnanitengeneza kisaikolojia kushindwa kesi. wacha niendelee lakini nikishindwa is better I've tried than to fail before to start.

Hakikisha unadai fidia ya kukuondolea matatizo yako yote ya kimaisha........
Mkuu sehemu ya fedha itakuja hapa jamvini kusaidia juhudi za akina max na invisible kutuweka hewani all the time na kutupa fursa adimu ya kuelimika hapa.
Cha msingi kitakuwa somo na fundisho kwa watuhumiwa, pili my reputation and privacy kisha maslahi yangu na wakili pia
 
Leo ndo leo wajameni.
natembea na ka three G kangu. ntaweka kila ambacho wakili kanambia
 
Back
Top Bottom