Angalizo kwa chadema.


Kahema

Kahema

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2010
Messages
203
Likes
3
Points
35
Kahema

Kahema

JF-Expert Member
Joined May 21, 2010
203 3 35
tukiwa tunasubili uongozi wa juu wa chadema kutoa tamko lao kuhusu zoezi zima la uchaguzi lilivyokua, mi nadhani mpaka hapa tumefanya vya kutosha. sababu naamini hao wabunge ishirini tuliopata ni zaidi ya 60 wa ccm, so chakufanya ambacho ndo kimesababisha yote haya yatokee ni katiba yetu iliyopitwa na wakati. sitegemei ndani ya miaka mitano ijayo wabunge hawa wafanye chochote ila kupinga na kushinikiza katiba ibadilike kutokana na hari halisi ya nchi kwa sasa. itakua ni dhambi hata kwa hili wabunge wetu wakishindwa kulifanikisha ndani ya muda huo, otherwise wala tusishiliki tena katika uchaguzi ujao.
 
S

Samuel A K

Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
45
Likes
0
Points
13
S

Samuel A K

Member
Joined Mar 31, 2009
45 0 13
Kutosishiriki si jawabu, mapambano ni mbele kwa mbele, apart from katiba kuna mambo mengine pia mengi tu ya kufanya. Mi natoa tahadhari kwa majimbo yaliyokua ngome kuu ya CCM kuna uwezekano mkubwa sana serikali ikayasusia ki-maendeleo kwakua yamebebwa na upinzani. Mfano Mwanza kuna uwezekano ikaachwa kabisa hata kufikia hatua ya wakuu wa nchi kutofanya ziara, au wakifanya basi wasiweze kulala jijini kwasababu jiji linakaliwa na wapinzani
 

Forum statistics

Threads 1,237,000
Members 475,398
Posts 29,275,450