HEBU NIAMBIENI WAKINA GREAT THINKERS Plato, Socrates, Aristotle, Rousseau, Voltaire, Kant, Foucault, Locke, ...
HIVI INAINGIAJE AKILINI MTU ALIYEKAMATWA NA MASANDUKU YA KURA ATANGAZWE...
Kusema kweli watu hawapingi ushindi wa CCM au tuseme ushindi wa Jakaya Kikwete au Sheni ,wananchi kwa ujumla wanataka kitangazwe kile kilichopatikana kwa uhakika bila ya kumpendelea mwananchi...
The European Union Observation Mission has called on Tanzanians to respect the outcome of the election in a bid to maintain and consolidate existing peace in the country.
Unveiling its...
:israel:Mabadiliko kwa nchi kama tanzania hayawezi kutokea kwa usiku mmoja, jamani lazima tuelewe tunaongozwa na viongozi wabinafsi, walafi, walevi wa madaraka ambao wapo tayari kwa lolote ili tu...
Mkusanyiko wa viongozi waliojiteua kwa uwezo wa pesa zilizizoibwa kwa wananchi na kuzitumia kujijengea uimara wa kiuchumi na kisiasa huwa siku zote unatumia kila aina ya mbinu kurubuni wavuja...
Ukweli unasambaa, Uongo unazidi kujitenga...!
Kulingana na Taarifa Ya Habari, Redio Tumaini - saa 9:00 alasiri hii, Chama cha NCCR Mageuzi kimetoa tamko kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa mbovu...
Bwana Fuya Kimbita wa CCM amesema hakubaliani na matokeo ya kumpa Mbowe ushindi.
Yeye na chama chake wanajadili namna ya kupinga mahakamani!
Source:
:: IPPMEDIA
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo...
Marina Hassan, Tiddo Mhando etc. wako hewani wakijetetea jinsi walivyo cover kampeni huku wakivishambulia vyama. Tukio la Marin Hassan kugombaniwa na wana CHADEMA jangwani wanadai lilitokana na...
Joseph Warioba na Salim A. Salim wazungumza 04/11/2010
Mawaziri wakuu wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, pamoja na mwanadiplomasia...
486( speed model) computers ilikuwa karibu 20yrs ago je ndo wanazo tumia NEC uchaguzi huu pia 286, inawezeka alitumia jaji makame enzi hizo, mabadiliko ya tekno hama yamewezesha kazi kufanyika...
Eti sheria inasemaje kuhusu uwezekano wa kumtoa mbunge wako/ wenu kabla ya miaka mitano kutimia kwa sababu za kiutendaji?
manake mimi naona ni bora kama inawezekana mbunge akitubore tunamreplace...
Naomba ili kuondoa mkanganyiko katika jamvi letu,tujaribu katika post hii kuweka majina ya WALIOKWISHA TANAGZWA NA TUME(wakurugenzi ) ili kuondoa utatamimi naanza1.Vicent Nyerere-Musoma...
Dont wish it was easier; wish you were better. Dont wish for less problems; wish for more skills. Dont wish for less challenges; wish for more wisdom. You must either modify your dreams or...
Jana jioni nilishangaa kusikia mjadara juu ya uchaguzi wa Tanzania BBC wakiwapa watu mbalimbali live kutoa view zao, moja baya ambalo lilikuwa kichefuchefu ni kumweka mtu wa CCM kutamba kuilaumu...
10 signs you're not ready to retire
Before you report for your last day of work, be sure that you've taken care of these details. You could save yourself a whole lot of money and regret later...
Ndugu wana JF, ni takribani miaka 50 to Mungu alipoona vema niwe kiumbe hai. theluthi mbili ya maisha yangu nimeishi TZ. Nimepiga kura katika chaguzi tatu na hii ya sasa ni ya nne. Sijawahi kuona...