Wabunge waliokwisha tangazwa RASMI na Tume ya Uchaguzi...


Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,643
Likes
343
Points
180
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,643 343 180
Naomba ili kuondoa mkanganyiko katika jamvi letu,tujaribu katika post hii kuweka majina ya WALIOKWISHA TANAGZWA NA TUME(wakurugenzi ) ili kuondoa utatamimi naanza1.Vicent Nyerere-Musoma Mjini(CHADEMA)2.Peter Msigwa-Iringa Mjini(CHADEMA)3----------------Tuendelee kwa mfumo huu
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
23
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 23 0
Steven Wasirra
 
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Messages
363
Likes
1
Points
0
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2009
363 1 0
Arusha mjini lema
 
K

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
878
Likes
245
Points
60
K

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2010
878 245 60
Mheshimiwa Shah wa mafia CCM keshatangazwa mshindi
 
P

Premier

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
13
Likes
0
Points
0
P

Premier

Member
Joined Nov 1, 2010
13 0 0
Naomba ili kuondoa mkanganyiko katika jamvi letu,tujaribu katika post hii kuweka majina ya WALIOKWISHA TANAGZWA NA TUME(wakurugenzi ) ili kuondoa utatamimi naanza1.Vicent Nyerere-Musoma Mjini(CHADEMA)2.Peter Msigwa-Iringa Mjini(CHADEMA)3----------------Tuendelee kwa mfumo huu
We unawaza Chadema tuu!! do you think sisi wote ni chadema?
 
A

abbasum

Member
Joined
Jul 26, 2008
Messages
5
Likes
0
Points
3
A

abbasum

Member
Joined Jul 26, 2008
5 0 3
Waliotangazwa wa chadema pekee au nwa wa ccm...?
 
M

moshiprince

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1
Likes
0
Points
0
M

moshiprince

New Member
Joined Nov 1, 2010
1 0 0
kuna mtu anachakacua taarifa za humu jf
 
Anfaal

Anfaal

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
1,157
Likes
8
Points
0
Anfaal

Anfaal

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
1,157 8 0
Duh yeye mwenyewe ameshindwa kuwataja walioshinda rasmi. Musoma Mjini(CHADEMA) VICENT NYERERE, MBARALI (CCM), PERAMIHO (CCM) NHAGAMA, SINGIDA MJINI (CCM) DEWJI, TARIME (CCM) NYANGWINE, KONGWA (CCM) NDUGAI, MPWAPWA (CCM), BUNDA (CCM) TYSON, MAFIA (CCM) SHAH, KOROGWE (CCM), KIBAKWE (CCM), BABATI (CCM), MTWARA VIJIJINI (CCM) GHASIA, TANDAHIMBA (CCM), IRINGA MJINI (CHADEMA) MSIGWA, ARUSHA MJINI (CHADEMA), LEMMA, URAMBO MAGHARIBI (CCM), MASWA MAGHARIBI (CHADEMA) SHIBUDA,BUKOBA MJINI (CCM) KAGASHEKI, MVOMERO (CCM), MAKALA, NYAMAGANA, (CHADEMA) WENJE, MASWA MASHARIKI, (CHADEMA), KATURIMI,
URAMBO MAGHARIBI (CCM), KAPUYA Ilemela, (CHADEMA), HAINES SAMSON, KIGOMA KASKAZINI, (chadema), ZITTO, HAI (CHADEMA), MBOWE, TABORA MJINI (CCM), RAGE tuweke yaliyotangazwa tu.....
 
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Messages
363
Likes
1
Points
0
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2009
363 1 0
si mmesema kapewa mshiko aachie jimbo?
hapana hapa naongea kutoka ars mtuy kasimama nje kutoka baracuda ya zamani lema mshindi. Nec imetangaza.
 
I

Innolee

Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
9
Likes
0
Points
0
I

Innolee

Member
Joined Oct 6, 2010
9 0 0
Moshi Mjini Ndessamburo Chadema;
Rombo Selasini Chadema.........Here the list goes on....
 
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,643
Likes
343
Points
180
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,643 343 180
We unawaza Chadema tuu!! do you think sisi wote ni chadema?
No Namaanisha wabunge wa vyama vyote,waliochaguliwaNaongeza Prof Ana Tibajuka(CCM) Muleba kusini alipitia bila kupingwatuendelee
 
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,871
Likes
155
Points
160
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,871 155 160
Duh yeye mwenyewe ameshindwa kuwataja walioshinda rasmi. Musoma Mjini(CHADEMA), MBARALI (CCM), PERAMIHO (CCM), SINGIDA MJINI (CCM), TARIME (CCM), KONGWA (CCM), MPWAPWA (CCM), BUNDA (CCM), MAFIA (CCM), KOROGWE (CCM), KIBAKWE (CCM), BABATI (CCM)tuweke yaliyotangazwa tu.....
Ukitaja na majina ingependeza zaidi mkuu!
 
Anfaal

Anfaal

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
1,157
Likes
8
Points
0
Anfaal

Anfaal

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
1,157 8 0
Mh kwa matokeo haya kuna kazi kweli!!
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,306
Likes
1,628
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,306 1,628 280
Waliotangazwa wa chadema pekee au nwa wa ccm...?
Inaelekea ni wa CHADEMA pekee, otherwise tuanze na wale 16 walipita bila kupingwa!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,252,212
Members 482,048
Posts 29,800,652