Ubunge segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge segerea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by seams, Nov 4, 2010.

 1. seams

  seams Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HEBU NIAMBIENI WAKINA GREAT THINKERS Plato, Socrates, Aristotle, Rousseau, Voltaire, Kant, Foucault, Locke, ...  HIVI INAINGIAJE AKILINI MTU ALIYEKAMATWA NA MASANDUKU YA KURA ATANGAZWE MKSHINDI???????? AU TAARIFA ZILE ZILIPIKWAAAAAAAA????????
   
 2. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  LISILOWEZEKANA KWA WENGINE LAWEZEKANA KWA CCM, Usishangae huo ndio ukweli
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ukistaajabu ya musaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  NI udhaifu uliotukuka wa mfumo wetu wa demokrasia ya kifisadi na ya kijambazi. Poleni wananchi wa Segerea kwa kupata mwakilishi mwizi
   
 5. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mahakama si ccm,itatenda haki.najua jaji augustino ramadhani ni makini sana
   
 6. n

  nkosiyamakosini Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  my dear umepotea kabsaaaaa, sheria na haki ni vitu viwili tofauti kabisa! kushinda kwake hakuhusiani na tabia yake, ni kura za wananchi. thanks
   
 7. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sio kura za wananchi ni KURA ALIZOIBIA WANANCHI
   
 8. seams

  seams Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  are you sure ni kura za wananchi??????? alizokamatwa nazo jeeee??? wamanchi
  walizipigia wapi????????
   
 9. K

  Kahamba Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ndo kwanza mwanzo wa mapambano. Dk Slaa na wenzake wameanzisha. Sasa ni zamu yetu wananchi kuonesha umakini na nguvu tuliyo nayo katika kukataa maovu ya CCM.
   
 10. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Mahakama ipi? Ya Tanzania au The Hague?? Majaji wapi? Akina A Ramadahani?? Si hao ndiyo hao vijana wa L. Makame?? Hivi unafikiri Makame na Ramadhani wanatofauti yeyeto kimsimamo zaidi ya ndiyo mzee kwa CCM. Ndiyo hivyo tulivyokuzwa na kufundishwa JKT. Si hao hao akina Mh. Ramadhani ndiyo walioitupa kesi ya Mtikira ya kudai wagombea binafsi. Tanzania mahakama siyo huru kama wanavyotaka kutudanganya. Kwa taarifa yako mahakama ya Iran, Iraq na Pakstani ziko huru kuliko mahakama yetu.
   
 11. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NI kweli mahakama si "Chama Cha Mafisadi" ila mahakamani kuna baadhi ya wafanyakazi vibaraka wa mafisadi. Huhitaji akili ya ziada kulifahamu hilo.
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna tume huru bali holela!!
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mambo ya mafisadi ni kuwa Might is right!
   
 14. M

  MpitaNjia Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap ni kura za wizi mkubwa.... Huo hauitwi ushindi ni KUFURU
   
Loading...