Freeman Mbowe apingwa na mpinzani wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe apingwa na mpinzani wake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir John, Nov 4, 2010.

 1. Sir John

  Sir John Senior Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Fuya Kimbita wa CCM amesema hakubaliani na matokeo ya kumpa Mbowe ushindi.
  Yeye na chama chake wanajadili namna ya kupinga mahakamani!
  Source:
  :: IPPMEDIA
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  CCM wanaogopa mwiba huo Bungeni na kazi wanayo, hana adabu kwanza mbowe anaweza kuchakachukua kwani yeye chama tawala? ana hata access na hizo box za kura?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wanataka balance na kesi za CHADEMA ionekane CCM nao wameonewa sasa sijui wameonewa na NANI?
   
 4. Sir John

  Sir John Senior Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu..
   
 5. Sir John

  Sir John Senior Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Kimbita Kwanza bungeni for 5yrs hakuongea cha maaana kuhusu jimbo la hai!yeye ilikua ni club 84 dodoma.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Waliotangaza si ni ccm-B, yaani nNEC?
   
 7. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ala kumbe wanaokataa matokeo sio dr slaa peke yake
   
 8. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  fuya kimbita anajaribu kujimaliza mwenyewe, alisababisha mkurugenzi wa hai bwana mtega akfukuzwa kazi, eti alikataa kutoa 100m za halmashauri badala ya kujenga barabara zimsaidie yeye kuingia bungeni. sasa amekalia majungu. kwa taarifa yake angeikaa kimyaa. arudi kwenye kampuni yake ya ukandarasi ya GFG INVESTNMENT, AMBAYO WA-DED WAMESHAPIGIANA SIMU NCHI ZIMA ASIPEWE KAZI MAHALI POPOTE NCHINI KWA KUMGHARIMU MWENZAO
   
Loading...