Mabadiliko tanzania tunahitaji muda.


G

Gm32

Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
34
Likes
0
Points
0
G

Gm32

Member
Joined Nov 2, 2010
34 0 0
:israel:Mabadiliko kwa nchi kama tanzania hayawezi kutokea kwa usiku mmoja, jamani lazima tuelewe tunaongozwa na viongozi wabinafsi, walafi, walevi wa madaraka ambao wapo tayari kwa lolote ili tu wabaki madarakani.

Ninachoamini hakuna miaka 10 ya CCM Tanzania from now. FRUSTRATION NA UBAGUZI WAO KWA WAO UTAWAMALIZA WENYEWE. Ili liwezekane hilo Lazima wabunge wa upinzani wajitolee kufanya kazi kwa bidii, speed na uaminifu mkubwa since wana madiwani wa kutosha ili tofauti ya uteandaji ionekane kati ya wapinzani na CCM.

Lazima tukubali watanzaina wengi hawajasoma, wana njaa na hawna dira ya maisha ndio maana kwa kipande tu cha mkate wanauza kura, hawajifunzi kwa kusikia ila kwa kuona. Majimbo waliyoshinda wapinzani ni vioo hapa tanzania MABADILIKO YATAANZIA HAPO KAMA TUNA NIA YA MABADLIKO.
 

Forum statistics

Threads 1,235,431
Members 474,565
Posts 29,221,679