Halmashauri zipi zimeenda chadema au upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri zipi zimeenda chadema au upinzani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 4, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wananchi wengi hupata huduma nyingi toka kwa halmashauri zao. Naomba mwenye jibu tusije tukamiss kilichotokea hasa jpili.
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu MM, nina wasiwasi JF imeshanunuliwa na inaendeshwa na mafisadi wa CCM. angalia trend ya threads na michango tangu jana usiku. Ufisadi?
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Moshi Mjini, Arusha mjini, Karatu, Ilemela, Nyamagana,..., wengine waendelee jamani!
   
 4. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kata ya kijitonyama -chadema
   
 5. P

  Pattie Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kigoma kaskasin, meatu, karatu, chuga town, kilombero, hai, singida magaribi na bariadi mashariki, mwingne aendelee....
   
 6. The Good

  The Good Senior Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tusichanganye ubunge na Halmashauri. Kuna majimbo ambayo mbunge na Halmashauri hawako Chama kimoja na mfano ni Kigoma kaskazini. Inabidi tuji-inform zaidi
   
 7. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ukerewe ipo chini ya CHADEMA
   
 8. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Msaada kwenye tuta>

  Halmashauri inaendwshwa na madiwani, hivyo chama chenye madiwani wengi ndicho kinapata mwenyekiti wa baraza> Kumbuka hata mbunge ni mjumbe wa baraza la madiwani na viti maalumu vinaendana na uwiano wa madiwani kwa kila chama. Hivyo halmashauri hesabu zake zianzie hapo.
   
 9. B

  Benno JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MBEYA MJINI -- MR. SUGU- CHADEMA
  MOSHI MJINI - NDESAMBU...CHADEMA
  ARUSHA ------ CHADEMA
  MBOZI- SILINDE- CHADEMA
  UBUNGO - MNYIKA - CHADEMA
  MWANZA - CHADEMA
  MUSOMA-CHADEMA
  KIGOMA-CHADEMA
  KAWE-CHADEMA
  n.k
   
Loading...