Kumbe rostaz alikua afrika kusini, siku kura feki zinadaiwa kuingizwa toka huko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe rostaz alikua afrika kusini, siku kura feki zinadaiwa kuingizwa toka huko?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWANASHERIA, Nov 5, 2010.

 1. M

  MWANASHERIA Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17 October, Rostam akiwa bado Afrika Kusini, ndio siku ambayo kulitokea kontena linalodaiwa kuwa na kura feki kuingizwa nchini toka A. Kusini kupitia Tunduma.
  Hebu wananchi tutafakari hili................
   
 2. H

  H6MohdH6 Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza! Wanazidi kutoa ushahidi wa ushiriki wao katika uchakachuaji wao wenyewe!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kweli Mwanasheria umesema, inaonyesha yeye ndiyo alikuja na ile gari lenye Makaratasi.
  Halafu isitoshe Afrika Kusini kwa wenzetu ni kama hapo Kariakoo na Ubungo. Asubuhi anaweza Kuwa Afrika Kusini jioni yupo Mwanza.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Siku za mwizi 40 huyu ndo mbaya wetu na KIkwete wake

  Sijawai kumchukia kikwete kama kipindi hiki

  I will never never accept Kikwete
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hE IS A PRESIDENT OF THIEVES.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  oh ooooooh mh !!!
   
 7. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Dont worry Mzee,

  Rostam alitakiwa atuonyeshe "entry stamp" na "Exit Stamp" ya SA na sio Exit stamp ya TZ kama alivyokuwa ameonyesha kwenye TV. Hawa ni mafisadi wanaweza kupeleka passport airport immigration wakapiga mihuri wakati yuko hapahapa TZ. Maana yake ni kuwa hajatuhakikishia alikuwa SA!
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acheni uzandiki nyie na uzushi, huyu jamaa ana fanya biashara zake nyingi tu Afrika Kusini .
   
 9. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  anafanya bishara nyingi tu afrika ya kusini ikiwemo kuleta karatasi feki za kura?
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CCM wanajikanganya hawaaaaaaaaaaaaa
  Wanaluka mavi alafu wanakanyaga mkojo.
  So alikuwa SA kujaribu kusuka mipango ya ayo makontena
   
 11. r

  remoteattacks Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo mie mwenyewe niliipata nikiwa hapa South Africa kwa masikio yangu mwenyewe, akiongea bwana mmoja ambaye ni mwambata wa kijeshi katika ubalozi wa Tanzania huko Pretoria (Brigedia M****) kwamba "kura feki za Zanzibar zimetengenezwa mjini Sandton - uliopo jimbo la Gauteng na wanataka kura za CUF na CCM zitofautiane kidogo! Halafu za Tz bara zimetengenezwa Bloemfontein - mji mkuu wa jimbo la Free State na wanataka kikwete apate kati ya asilimia 70 - 80".

  Sasa RA kusema kuwa alikuwa SA inawezekana, na anahusika kushiriki ktk mkutano wa wachakachuaji kwa sababu atakuwa aliwaambia niandikeni jina nakubaliana na hayo mtakayoazimia au imekuwa rahisi yeye kusema alikuwa SA lakini hakwepo kwa sababu hisia zinamtuma hivyo akijua akilini kwamba kuna mipango ya wizi walikuwa wakishughulikia huko!
   
 12. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  biashara zake wewe umezijuaje?
  hata hivyo kwenda south ni masaa mangapi?
  mtawatetea sana lakini mambo yote yatakuwa wazi muda siyo mwingi.
  you wait and i do too
   
 13. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  Ni kweli ni mfanyi biashara lakini siku hiyo alikuwa anashughulikia swala la karatasi za kura kama unabisha shauri yako
  maana aliyeona kontena ni mwangalizi wa TRA na alivyotoa report kwa Bosi wake akamwambia hairuhusiwi kukaguliwa na ikafanyika mbinu kushirikiana na mkuu wa polisi haraka haraka na gari likatokomea wakaweka gari lingine kwa ushahidi tu na kama huamini ubaki na umasikini wako,JK atakuwa rais lakini hamna anayemthamini kwa sasa na atapata taabu sana katika kipindi hiki cha 5years
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  :A S angry:
   
 15. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Sure, hilo ndio nililoona nilipokuwa natizama ile habari. Suala la exit ya Tz na entry ya Tz kwa fisadi kama yeye ni kitu kidogo sana. watuonyeshe entry na exit ya south, japo nayo ni kitu kidogo kama intelligensia imehusika na kwa mtandao uliopo wa kifisadi. What we believe ni kwamba mchezo uliotajwa ni mchafu na ulifanyika!!
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kwanini RA anaheshimika na kutegemewa sana CCM?
  Ni Mafia au zile pesa zake?
  Na watu wa Tabora huwaelezi kitu mbele ya huyu jamaa.
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  QUOTE=kishalu;1226731]Ni kweli ni mfanyi biashara lakini siku hiyo alikuwa anashughulikia swala la karatasi za kura ( WEWE ULIMUONA ?) kama unabisha shauri yako
  maana aliyeona kontena ni mwangalizi wa TRA ( YUPI , HEBU MTAJE TUMJUE ) na alivyotoa report kwa Bosi wake akamwambia hairuhusiwi kukaguliwa na ikafanyika mbinu kushirikiana na mkuu wa polisi haraka haraka na gari likatokomea ( KWENDA WAPI ?) wakaweka gari lingine ( LIPI ZITAJE NAMBA ZAKE) kwa ushahidi tu na kama huamini ubaki na umasikini wako ( FANYA KAZI NDIO UMASKINI UTAONDOKA ACHA VITU VYA BURE ),JK atakuwa rais ( AMEISHA KUWA RAIS , NANI RAIS WA WOTE ) lakini hamna anayemthamini kwa sasa ( WATANZANIA WANAMTHAMINI NDIO MAANA WAMEMPA RIDHAA YA KUONGOZA , NI WW TU PEKE YAKO ) na atapata taabu sana ( HAKUNA TABU YOYOTE ILANI YA UCHAGUZI ITATEKELEZWA KAMA ILIVYOPANGWA) katika kipindi hiki cha 5years ( TANZANIA BILA CCM HAIWEZEKANI) [/QUOTE]
   
 18. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  neither do i
   
 19. r

  remoteattacks Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GeniusBrain hueleweki! Kigeugeu kama changudoa!
   
 20. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  This is terrifying kwa kweli...! Hivi huyu jamaa is there no means of eliminating him? Manake kila jambo baya katika nchi hii he has been the driving force behind it...! Hapo haujazungumzia mambo ya ajabu anayofanya ambayo bado hatujayafahamu...!
   
Loading...