Jk na red tai

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
Imenishangaza rais mteule wa nec katinga tai nyekundu na akitembea kwenye zulia lekundu wakati wa sherehe za kuapishwa.........
 
Rangi nyekundu Serikalini ishara ya mamlaka. Kama mtu ambaye ameshatangazwa,( nimebold kuonyesha msisitizo), kwamba nia mkuu wa nchi na anakwenda kuapishwa,hapo kumbuka kwamba akishatangazwa na tume ndo ntolee hiyo; sidhani kama alikosea. Labda nishawishi vinginevyo.
 
Back
Top Bottom