Zilipita ndege ngapi na kwa formation gani??Ndugu wana jamii kuna jambo limenishtua kdogo ktk sherehe ya kuapishwa rais mteule wa NEC, mh jakaya kikwete, had najiuliza hiv ndege za kivita ni za nini ktk sherehe kama ile?
Zimepita mbili toka mashariki kukatiza nje uwanja kwenda kusini.....na kurudia tena hivyo hivyo....ni salute to the new President
mkuu wanaaaijua hiyo vacuum ndio maana wamefanya mazoezi ya kutosha week nzima .....na wameogopa kupita karibu na uwanja....wanajuaa sana maana wachina wanakaa anao full timeWalikosea sana, hivi watajifunza lini juu ya ile vacuum ya measurements upande ule wa mashariki????
Dah zile ndege Nazo? na Obama ana nini? ni bora ziwekwe makumbusho tu haina haja ya kuwa na ndege za kichovu kama zile
Naomba ufafanuzi ndugu kwenye vacuum of measurements na wengineo tuelewe, Asante