Elections 2010 Taifa Linaelekea Utumwani

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Taifa linaelekea utumwani
“Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,”
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na badala yake atacheza muziki mmoja na mafisadi.

Sasa tusubiri kutumikishwa kama Punda,,, kwasababu Segerea uovu mtupu Mpendazoe kashinda wamtangaza mahanga,, Wakati Alikamatwa na mabox ya kura kibao akiyapeleka ili wachakachue,, Takukuru wakamuacha aendelee na uchaguzi, na tume pia bila aibu imemtangaza..
Sisi watumwa tu, inabidi tukubali utumwaaaaaa

Watanzaia watumwa oooyeeeee​
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,276
17,055
Taifa linaelekea utumwani
"Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,"
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na badala yake atacheza muziki mmoja na mafisadi.

Sasa tusubiri kutumikishwa kama Punda,,, kwasababu Segerea uovu mtupu Mpendazoe kashinda wamtangaza mahanga,, Wakati Alikamatwa na mabox ya kura kibao akiyapeleka ili wachakachue,, Takukuru wakamuacha aendelee na uchaguzi, na tume pia bila aibu imemtangaza..
Sisi watumwa tu, inabidi tukubali utumwaaaaaa

Watanzaia watumwa oooyeeeee​

Na wewe hoyeee pia!!!!!!! ila umefungua dabo sredi
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Did you find this post helpful? |
icon1.gif
Re: Taifa linaelekea utumwaniquote_icon.png
Originally Posted by Safari_ni_Safari
Ilianzia hapa.....jamaa wame m-dilute kabisa

mrema1bc.jpg


walipendeza aisee Mmmm wamenoga ile mbaya hawa jamaa ni marafiki eee,, Tanzania ni nchi ya utumwa 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,276
17,055
Did you find this post helpful? |
icon1.gif
Re: Taifa linaelekea utumwaniquote_icon.png
Originally Posted by Safari_ni_Safari
Ilianzia hapa.....jamaa wame m-dilute kabisa

mrema1bc.jpg


walipendeza aisee Mmmm wamenoga ile mbaya hawa jamaa ni marafiki eee,, Tanzania ni nchi ya utumwa
Watasema wote ni Waluteri....hata jela wapo waluteri mbona?
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Kama hayo CCM wanayo yafikiria yatatimia basi Nchi yetu tumeikosa na tutakuwa watumwa wa matajiri sita wanao iongoza nchi hii
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Tunakwenda utumwani Tusikubalikubali mbambo hivi yanavyo endeshwa jamani
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
tutake tusitake ndiko tunakokwenda


"MLIWASHANGAA wakoloni walipowafunga minyororo babu zetu, wakawapiga na kuwachukua utumwani kwa nguvu na kuwatumia kama wazalishaji mali wao.
"…Leo mnashindwa kuwashangaa mafisadi wanaotumia rasilimali zetu kwa maslahi binafsi. Mnaendelea kuwakumbatia na kuwapamba; huu ni utumwa zaidi ya ule wa kufungwa minyororo na kupigwa mijeledi".
Mjadala mzito wa matukio yanayaoendelea ndani na nje ya Bunge la Tanzania umeendelea karibu kona zote za nchi hii na kila mmoja sasa anashiriki kutoa mawazo yake ambayo huenda hayatakuwa na mabadiliko tegemewa ya hali ya mambo.
Kauli hiyo hapo juu ni ya mfanyabiashara wa Kijiji cha Obwere, Kata ya Mkoma, wilayani Rorya, Mara, Patroba Nyangige, aliyeeleza namna ufisadi ulivyokwamisha uamuzi wa eneo la kujenga makao makuu ya Wilaya mpya ya Rorya, hoja iliyodumu kwa miaka zaidi ya miwili na hatma yake haijulikani hadi sasa. Kwa mtazamo wake, mfanyabiashara huyo anadai serikali imeshindwa kutoa uamuzi wa busara wa eneo stahili la kujenga makao hayo na kuliacha suala hilo liogelee ndani ya siasa iliyojaa ufisadi na rushwa, wakati hali mambo yakizidi kuchelewa na kuathiri ustawi wa kiuchumi na maendeleo.
 

3D.

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,013
280
Mtu asikudanganye, elimu muhimu sana. Ukitembea maeneo mbalimbali Watanzania ni masikini kweli. Zaidi ni masikini mawazoni, wanatabasamu na meno yao ya njano, hawana kitu mifukoni na vichwani., wamelewa umasikini na wamefungwa minyororo ya utumwa wa CCM shingoni. Inaumiza. Nawaoneo huruma watoto na akina mama.
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
ujue Watanzania wanauchukulia Poa sana huu usemi wa Tanzania tunaelekea Utumwani jamani wanajamii naomba muufukirie huu usemi nkwasababu unaukweli ndani yake Please musiuache uhang
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom