Zanzibar haitaendelea na serikali kubwa hivi

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,355
6,379
Ndugu zetu wa Zanzibar hawataweza kuendelea kwa sababu serikali yao ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu. Zanzibar ina budget ya $400 million tu na watu wasiozidi 1,500,000!. Zanzibar serikali yao ni kubwa kiasi kwamba inawezekana $200 million inatumika kuwahudumia viongozi tu kuanzia wabunge, mawaziri, ikulu, wakuu wa mikoa, wakuu wa jeshi na polisi. Zanzibar inatakiwa kuwa na serikali ndogo sana. Zanzibar ina watu kama mji wa mwanza lakini angalia ni watu wangapi wanategemea serikali. Je pesa ya shule itatoka wapi?, pesa ya hospitali itatoka wapi wakati hospitali moja ya kisasa ya rufaa inaweza kujengwa kwa hadi $80-$100m hivyo ndugu zangu wa Zanzibar kama kweli tunataka maendeleo tuanza na ukubwa wa serikali.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,824
Ushauri wako ni makini lakini kwa utawala wa ccm hilo ni kinyume!hawapo kumfikiria mwananchi wa hali ya chini.
 
Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,477
730
Pesa za Muungano zinawalea, subiri siku hiyo gundi ya muunganisho itakapo expire ndio watajua kumbe hata mnyama ni mboga...
 
Rogers_ic

Member
Nov 7, 2010
51
0
omba mungu tu? kwa mikakati ya ccm, hamtafurukuta watawapeleka watakavyo na akili zao ndogo. walaaniwe utawala wa ccm amen
 
msela2010

Member
Nov 1, 2010
8
2
Siamini nchi ndogo kama Zanzibar kuwa na Makamu wa maraisi 2 hata sijui hao makamu nani atafanya nini. Its one thing kushare madaraka lakini its another thing for them to have big govt for the money they dont have ( We dont have).
 
Mkosoaji

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
363
41
Siamini nchi ndogo kama Zanzibar kuwa na Makamu wa maraisi 2 hata sijui hao makamu nani atafanya nini. Its one thing kushare madaraka lakini its another thing for them to have big govt for the money they dont have ( We dont have).
Makamu wa 1- kazi yake kuzindua mikutano
Makamu wa 2- waziri kiongozi
 
Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,807
621
hivi KWA NINI TULIUNGA NA ZANZIBAR??????????????????, kwa nini SIO KENYA au UGANDA??? ni swali tu Sina maana ya ubaguzi, kwa kuwa naona sababu nilizowahi kuzisiakia SIO ZA MSINGI SAAAAAANA .Naomba SASU ZA MSINGI JIULIZE KABLA YA KUJIBU!!!!!!!!!!!

Nimewasilisha
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,866
984
Under ccm Zanzibar will remain the same unless a leader of Salmin's type comes up on power again! Otherwise we will have the same cries every five years!
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
63
zanzibar ni nchi si mkoa bwana, ebo!

kama kwweli zenji ina budget ys $400mil kwa mwaka, basi wako mbali sana ukilinganisha na huku kwetu! wamepiga hatua kubwa sana basing on its profile
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,355
6,379
wanapewa kama 10% ya pesa ya Tanzania nzima ya budget hivyo sio kwamba wanafanya vizuri ni mgao.Vilevile pesa inaishia kwenye matumizi ya viongozi!!
 
Jembajemba

JF-Expert Member
Feb 3, 2007
257
32
zanzibar ni nchi si mkoa bwana, ebo!

kama kwweli zenji ina budget ys $400mil kwa mwaka, basi wako mbali sana ukilinganisha na huku kwetu! wamepiga hatua kubwa sana basing on its profile

Hiyo pesa wanapewa kama msaada au ni gawio lao kutoka BOT???
 
Jembajemba

JF-Expert Member
Feb 3, 2007
257
32
wanapewa kama 10% ya pesa ya Tanzania nzima ya budget hivyo sio kwamba wanafanya vizuri ni mgao.Vilevile pesa inaishia kwenye matumizi ya viongozi!!

Hiyo pesa wanapewa kama msaada au ni gawio lao kutoka BOT???
 
takashi

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
905
188
hivi KWA NINI TULIUNGA NA ZANZIBAR??????????????????, kwa nini SIO KENYA au UGANDA??? ni swali tu Sina maana ya ubaguzi, kwa kuwa naona sababu nilizowahi kuzisiakia SIO ZA MSINGI SAAAAAANA .Naomba SASU ZA MSINGI JIULIZE KABLA YA KUJIBU!!!!!!!!!!!

Nimewasilisha
Akili na mawazo ya waTanganyika ni kuiona Zanzibar ni sehemu yao...kwahiyo huu Muungano ulikuwa kama mtego wa kuichukua tena Zanzibar...Lakini waZanzibari ni watu makini sana, hili wameligundua ndio utaona Zanzibar hawana hamu ya Muungano ila ni sisi Tanganyika.
 
Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,708
1,282
Hivyo Watanganyika hamna la kujadili bali kujadili lisilokuhusuni? Lengo lenu kuiona Zanzibar ikisambaratika lakini wapi!! Mkisema kuwa Wazanzibari hawawezi kuishi kwa amani lakini you were proved wrong! Badala yake ni nyie mliyobaki katika lindi la kukosa amani. Waachieni Wazanzibari kwani si kweli kuwa wanawategemea nyinyi. Natowa changamoto! Waachieni muuone viroho vitakavyowauma kwa maendeleo ya Zanzibar.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,612
728,446
Zanzibar serikali yao ni kubwa kiasi kwamba inawezekana $200 million inatumika kuwahudumia viongozi tu kuanzia wabunge, mawaziri, ikulu, wakuu wa mikoa, wakuu wa jeshi na polisi. Zanzibar inatakiwa kuwa na serikali ndogo sana.

Ningependa usitumie maneno ya .......huenda......................hivi takwimu za matumizi yao halisi ya kawaida yakiuendeshaji wa serikali si yapo tu hadharani..........ni vyema tukajadili mambo tukiwa na uhakika zaidi........
 
Jembajemba

JF-Expert Member
Feb 3, 2007
257
32
Hivyo Watanganyika hamna la kujadili bali kujadili lisilokuhusuni? Lengo lenu kuiona Zanzibar ikisambaratika lakini wapi!! Mkisema kuwa Wazanzibari hawawezi kuishi kwa amani lakini you were proved wrong! Badala yake ni nyie mliyobaki katika lindi la kukosa amani. Waachieni Wazanzibari kwani si kweli kuwa wanawategemea nyinyi. Natowa changamoto! Waachieni muuone viroho vitakavyowauma kwa maendeleo ya Zanzibar.

Mkuu hata mimi nashangaa hawa jamaa kuisakama Znz kiasi hicho - lakini huu wote ni wivu na choyo kimewakaa kwenye roho zao. Kama ZNZ inawategemea nyinyi kwa nini basi munaendela na Muungano ambao hauna maslahi na nyiyi??? Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano so kwa nini isiendelee kuwepo bila ya Muungano???. Wacheni hizo nyie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom