What so special mpaka Spika kufuatilia sana maombi ya Sophia Simba?


Little John

Little John

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
215
Likes
0
Points
33
Little John

Little John

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
215 0 33
Wana jamii, ilinishangaza sana kuona jinsi Spika alivyo fuatilia maombi ya Muheshimiwa sana Sophia Simba kuomba kuchaguliwa kuingia kwenye kundi la wabunge wa SADDEC, it was so interesed jinsi ambavyo Muheshiwa Spika alivyokuwa aware na hayo maombi, alikuwa anajua mpka muda hayo maombi yalipopelekwa mpaka kuingizwa jina haraka sana. Je ni kweli katibu wa bunge hakuwa na taarifa? kweli?
Pamoja na wana harakati kusema wazi jinsi kanuni za bunge zilivyovunjwa lakini hakuna aliyesikiliza, jambo moja kuu linalosemwa "HESHIMU KITI"
Sasa nauliza ndugu zangu "What so special kwa Sophia Simba?????????????????"
 

Forum statistics

Threads 1,237,970
Members 475,809
Posts 29,308,255