Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Source: Tanzania Daima Alhamisi, Novemba 18.2010
Hapa bunge la JYT lilikuwa linachagua wabunge wa Bunge la SADC. Kwa mgombea wa sisiemu kutokujadiliwa, kuulizwa maswali, na hatimaye kupigiwa ni kuvunja kanuni za Bunge.
Kumbe kwa kanuni hizo hizo wabunge 19 wa sisemu waliobebwa bila kujinadi kwa wapiga kura, kuulizwa maswali, na hatimaye kupigiwa kura ni kuvunja kanuni za Bunge!!!!
Kumbe ndiyo maana Rev Chris Mtikila anajiandaa kuwashitaki wabunge 19 wa sisemu waliobebwa kwa kuvunja katiba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kwa uchaguzi wa wabunge wa SADC kanuni (sheria) zilivunjwa, iweje kwa wabunge wa Bunge la JYT kubebwa wabunge 19 siyo kuvunja sheria??????????????????/