Nikumbushe jina la hawa wasanii wa zamani

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wakuu heshima mbele,
naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki
wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini
hawa jamaa walivuma sana. Naomba tukumbushane wakuu jina la bendi hii..
 
Mwenda_Pole, mada yako humu sio jukwaa lake, peleka kwenye sports and entertainment.
 
Watu wengine bana!
Mods, hawa ndio wa kupigwa ban.

Ban kwanini mkuu, kwani kuomba msaada ni kosa hapa JF?
kwano JF ipo kwa ajili ya mambo ya siasa na mapenzi tu?
acha hizo, kama nimekosea toa marekebisho na sio ku crush..
 
Hii kitu siyo mahali pake kama ulivyoelezwa ila kwa msaada wa haraka bendi ilikuwa inaitwa nouvelle generation
 
Wakuu heshima mbele,
naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki
wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini
hawa jamaa walivuma sana. Naomba tukumbushane wakuu jina la bendi hii..

Victoria Elyson
 
Vibao vyao hivi hapa kama upo interested (N.B: sorry nimeshindwa kuhamisha thread kupeleka kwenye burudani, so Mod can help me)
Princess Julia

Vigilance

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom