Lile tone dogo la maji walilo anzisha wapiga kampeni wa chama cha mapinduzi mwaka 1995, wakaliacha lenyewe na kuliongezea mwaka 2000, sasa limekuwa kubwa na litaleta ghalika baada ya kulichochea...
When the presidents makes a statement it goes down with a huge impact 2 society.. Je ni kwel Tanzania kuna udini? Na kama upo,je ni kwa kiwango rais anachokishkia bango? Mbona yeye 2? Why? Je hal...
Marekani waipa pongezi kwa mabadiliko ya kisiasa Z'bar
Tuesday, 10 November 2009 07:07
SERIKALI ya Marekani imesema kuwa imefurahishwa na uamuzi wa CUF kuachana na msimamo wake mkali...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
Huyu dogo siku zote alikua mstari wa mbele kuleta choko choko za muungano akishirikiana na bosi wake Rais mstaafu wa visiwani. Hii exposure anayopewa ya ulaji kwenye serikali ya JMT itasaidia...
Rais wa Watanzania milioni 5 ameahirisha Bunge kwa hotuba iliyojaa unafiki,majigambo,uongo na ahadi kemkem zisizotekelezeka hadi hapo Tarehe 8,Februari,2011.
Ukweli ni kwamba Hotuba hii imeacha...
Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona...
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA...
Asante kikwete kwa kutukumbuka mana sisi tunaonekana wachache
Asante kwa kutuunganisha na kutuweka katika mamlaka ya juu
Sheni
Seif
Mohammed Gharib Bilal,
Shamsi Vuai Nahodha
Zakia Meghji...
Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo.
Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata...
..........Dk. Shein katika hotuba zake amekuwa akiahidi kupambana na rushwa, tatizo ambalo limeathiri sana wananchi wa Zanzibar hasa wenye kipato cha chini.............. :: IPPMEDIA
Huku haya...
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la...
Boris Yeltsin came to power with a wave of high expectations. On 12 June 1991 he was elected president of the Russian Soviet Federative Socialist Republic with 57% of the vote, becoming the first...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA 2010
Mheshimiwa Spika...
Ukweli binafs naamini wananchi wengi ha2na elimu ya URAIA,hvyo inapelekea wengi wasiojua umuhmu wa kupga kura hawapgi kura.je katiba inasemaje kama cc 2kiamua kwenda na kutoa elimu juu ya umuhmu...
tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na...
Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ...
Niko namsikiliza nisiyemtambua na kumpenda. Simkubali na kumjali. Namsikiliza huku nakitamani kurushia chupa hii TV. Kweli zama zenu CCM ziko ukingoni. Sasa na huyo mama Spika alikuwa ananikera...